Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
kwa upande wa utalii, Kenya haifai kushindana na Tz kabisa. hilo lazma ukubali maana Tz ina vivutio vingi mno. munafaa kushindana na Morocco, na Egypt. hamuitwi bongolala bila sababuKizuri chajiuza ila kibaya lazima kitumie nguvu nyingi sana ili kionekane kizuri nchi ya kenya ni sawa sawa na kupaka rangi taka kwa nnje ili ionekane safi na inapendeza angali ndani imeshaoza na inanuka harufu chafu....
Matokeo yake day afta day matokeo yanabainika