ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 mbona raha sana mwaka huuuu 😀😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛😛😛I post what I want. Hata napost tena. Hio ni shauri yako kama unawashwa.View attachment 488160
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 mbona raha sana mwaka huuuu 😀😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛😛😛I post what I want. Hata napost tena. Hio ni shauri yako kama unawashwa.View attachment 488160
Ni picha ngapi za Dar unazoweka hapa ambazo hazijawekwa hapo nyuma? Acha kulalamikalalamika na uweke picha zako.....heheeh unajitahidi sana kurudia picha 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Google earth imebaini nyinyi bado mko nyuma saaana kimaendeleo. Kwa hivyo, hamtutishi na hizi majengo katikati mwa mji ilhali mitaa takataka!Hii thread imekata mzizi wa fitina kwakwel,tumeona mengi
Sasa takataka zilizopo Dar nzima hazifikii ata robo ya slums zenu...kibera ni largest takataka duniani tena kwa upande wa uchafu nyamaza kabisaGoogle earth imebaini nyinyi bado mko nyuma saaana kimaendeleo. Kwa hivyo, hamtutishi na hizi majengo katikati mwa mji ilhali mitaa takataka!
hapo awali nilibashiri dhahiri shairi kwamba mkirejea,mtaanza ku-repost picha za magorofa ya koinange road,moi na kenyatta avenue.then mta-repost picha za flyovers na thika highway.View attachment 488211
1st hilton hotel Nairobi. 3rd Hilton Hotel under construction
