Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnavyotaka kuja tunawapiga. This is Dar es salaam
LANESn.jpg
 
Kwa ushamba wako unadhani hizo picha ni za miaka hii ya karibuni. Hizo ni picha za zamani sana. Hivi unafikiria huko angani kuna camera inapiga picha!!?. Usihamishe mada.
Jamani!!!! Unaangalia picha kutoka angani alafu unauliza kama anadhani kuna camera inapiga picha huko angani, like seriously?! Ebu tuambie we unadhani hiyo picha imepigwa na nini? Usiniambie jua tafazali!
 
Vijana wa Nairobi mmejificha wapi? This is Dar es salaam
dar_ashoka_trees.jpg
 
Jamani!!!! Unaangalia picha kutoka angani alafu unauliza kama anadhani kuna camera inapiga picha huko angani, like seriously?! Ebu tuambie we unadhani hiyo picha imepigwa na nini? Usiniambie jua tafazali!
Tafadhali.
 
Bado Vijana wa Nairobi mnanguvu?
Dar-es-Salaam-Street-Court.jpg
 
Naona vijana wa Nairobi wamenywea. Hii ndiyo Dar es salaam.
83-1560.jpg
 
Sasa Vijana wa Nairobi acheni ubishi. Dar ya 2017 siyo ilee mliyoizoea ya 90s
ledger-plaza-bahari-beach.jpg
 
Sina time yako mtoto.
Building gani mko nayo hapo na ni nane mlituma pekee
i love yur swahili

Nyie nairobi hamna ki2
Hesab nilizotuma na walizotuma
Apo mixer mnaingiza majengo ya 18flr
Af kingine nilipost mengi zaid yenu
Inshort dar tushawapita nairobi kila ki2
Flyover pekee ndo mlitupita ambazo zinajengwa matata

Ila kwa barabara hamtuwezi
 
Hahahah! naona vijana wa Nai wamejificha
dart_clip.jpg
 
Tafadhali.
hahaha..... you actually took the bait!!! Like peanut to a rat.
You didn't answer the question though! We Unadhani hizo picha za Google map zinapigwa na nini huko angani?. C'mon tickle me!
 
Back
Top Bottom