Wameleta na mombasa hahahae sasa hii ndio water park kubwa east and central Africa my friend hahahahThat one we give it to compete with Wild Waters in Mombasa
So alshabab walipoingia west gate na Chuo cha garisa mlikua secured hhahhahahahhaa acha ujinga weweNairobi is the place to be secure day and night
Hahahhahaa kachakachua picha hii ni funcity dar es salaam hahahhahahhaa mbona raha humuAcha kujiaibpsha hapo utakimbia sana. Taja jina la eneo hilo.
Hapa ni Funny City Kigamboni
View attachment 488047
Picha moja umeweka ya funcity kigamboni dar hahahhahahaAnneal si nimesema Wild Water Mombasa??
Hhahaha nimekuonesha the biggest water theme park in east and central Africa unataka tubishane bado hahahaahahah acha utoto weweHivi nilimwambia mwenzako hiyo ya dar hawezi linganisha na Nairobi Splash water world ndio nikampa alinganishe na hiyo ya Mombasa
Churning out best military in the world is the Kenya Military School
Piga picha utupie hapa tuone.nani leo kapita tabata kwenye traffic light kuna bango limewekwa la two separate flyovers tayari na wameanza kukwangua lami ya juu kutandika zege duhhhhhh hii sio spped ya kawaida fly over nyingine tena hio
nitapiga picha wakati narudi home sio mchezo aiseee ngosha ni nomaaaPiga picha utupie hapa tuone.
kama bango ni last two separate flyovers that could only mean wanajenga flyover 2. Unachagua mwenyewe unajiskia kutumia ipi hahaha... magukasi!nani leo kapita tabata kwenye traffic light kuna bango limewekwa la two separate flyovers tayari na wameanza kukwangua lami ya juu kutandika zege duhhhhhh hii sio speed ya kawaida fly over nyingine tena hio
Hichi nacho ni kingereza !!!?That one we give it to compete with Wild Waters in Mombasa
uliza ujibiwe mshamba ww siku zote hua hamupendi kuskia maendeleo ya tanzania ila sasa mutayasikia mutake musitake usijifanye unajua sana english kuzidiwa hamutaki na mumezidiwakama bango ni last two separate flyovers that could only mean wanajenga flyover 2. Unachagua mwenyewe unajiskia kutumia ipi hahaha... magukasi!
Pun fully intended!
heheeh unajitahidi sana kurudia pichaView attachment 488154
Best City in Eastern Africa. Nairobi King of the region.
I post what I want. Hata napost tena. Hio ni shauri yako kama unawashwa.heheeh unajitahidi sana kurudia picha