joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Inajulikana hivyo kwamba ninyi mnarhamini zaidi kiingereza, na mnakihusisha na civilization au kuwa educated, kifupi ninyi ni miongoni mwa watu hovyo msiojitambua hapa Africa, wazungu kwenu ni zaidi ya Mungustop being petty....sasa tunashindana ownership ya lugha tena? FYI, kenyans hawakidhamini kiswahili pengine tu wale wa coast ila heri wazungumze sheng, kiingereza au lugha za mama..tunazungumza tu kwa ajili ya mawasiliano...this arab guy😀😀😀