Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20yr old AFC Leopards midfielder Richard Odada is currently in trials with the Italian giants JUVENTUS FC.
SC20180210-214545-1.jpg
 
Eti kunawatu bado wanabisha kuwa Nairobi ina tower nyingi kuzidi dar. Lakini mwenye macho haambiwi tazama.View attachment 693655

Ona hiyo density halafu compare hiyo na vitower vya kuhesabika vya Nairobi.
The problem with you guys you hate writen facts when is not on your side...

DAR ipo coast which is very flat Nairobi is on ahigher altitude hence you can't see all the buildings kama Dar ama mombasa...
 
SSC inawatanzania wengi wenye marifa kuhusu Tz na wanachangia sana..

SSC haina utoto mwingi ulio hapa
Naingia sana ssc Na kwel it's a bit matured...Ujue mmetuzidi in a one yr due to the booming ya avic nadhan wameerect nyumba nyingi at once
 
Honestly even skyscrapercity has this thread of cities with towers above 20floors... NAIROBI is way above Dar..

Check also Emporis.. It give indepth infor on this.

Do we really have to argue about the obvious??
Hayo ni maoni yako ndugu kama ulikua ukiwaza ile dar ya 90s basi umechelewa sana
 
tanzania has no one to compete with when it comes to food security.

we are the king on food security...capable of feeding the entire EA region.

vile wakenya wanapata hasira after they come across anything like this in the supermarket...tanzania baby

a51ee630438258d1e28ebabddb204103.jpg
d1921f3daaab8bbc1c2dbf4b3ad21e62.jpg
94e6e760ea92286141c666d736c4366d.jpg
36527526a3b519c084741a5cc5fab2ee.jpg
9761cb03de493f8b3d5f351f94ed7945.jpg
41b71206e0d2985a7a26235ed41e1592.jpg
3102f4eb10932de17b3453efdc8b168b.jpg
d1df91e5415fc021f0e6926ab5098fa1.jpg
85e1ac5e06828975e4fade8923bfada0.jpg
331699c1c1f17ec22a7fc2435d9db002.jpg
30adddfb0a2d5d739f0577fb73ff80b3.jpg
2a689a73761cbb0b2231f12130f8ac49.jpg
f574402b22ebe0ea7a88b83e9e89d261.jpg
a43dfc5bf9930803f21da1a18dbb177b.jpg
ff4118d675090dfe175af498c139f408.jpg

Very ''jua kali'' packaging and branding! More room for improvement!
 
DXB hits 40C degrees and above from April-Oct. Not all months are that hot my friend. They also have a dry winter from late Nov to late Feb. Right now it's heating up towards April
Kwanza sikiliza maneno ya ndugu yako analwambia dubai haizidi 21 degree😀😀
 
Hata Kenya wamekosea but their main focus is on Buildings around the world, on that they are up to date.

hawawezi kuwa serious na chochote kwa kuandika uongo mwanzoni tu,haya embu niambie wewe kipimo cha hizo skysrepers ni metre ngapi wameanzia???
 
Naingia sana ssc Na kwel it's a bit matured...Ujue mmetuzidi in a one yr due to the booming ya avic nadhan wameerect nyumba nyingi at once
SSC is one of the best interms of infor.

Wacheni ukweli ibaki ukweli...
 
The problem with you guys you hate writen facts when is not on your side...

DAR ipo coast which is very flat Nairobi is on ahigher altitude hence you can't see all the buildings kama Dar ama mombasa...

kwani picha si Imetumwa humu toka uzi umeanza???au kina zingine bado??
 
hawawezi kuwa serious na chochote kwa kuandika uongo mwanzoni tu,haya embu niambie wewe kipimo cha hizo skysrepers ni metre ngapi wameanzia???
used to be 60m sometimes back. but nowadays it's 90m
 
Thats not the point here, the disussion is between Dar and Nairobi, niwe Mtanzani, niwe Mkenya au Mmarekani that is irrelevant ti this topic. Sio kisa Mtanzania basi niseme vitu vya kui favir Tz, hakuna award utapata ukimaliza ku ague hapa na huu si ushindani wa kupata kitu.
#Learn_yourself.
Kwanza naomba nichukue fursa kukukaribisha hapa saw mgeni karibu sana😀😀😀
 
Back
Top Bottom