Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi kazi. TZ
DVlRK1PWAAIFtCi.jpg
 
Hizo picha ulizo weka ujenzi ulikamilika 2015 so i argue all members of this forum to stop taking the bullshit from kenyans that Tazara is our first fly over. Hivyo vi fly over wanavyo jisifia uko Nai nyingi ni kma hizi & they correct they fit to be called fly overs Kwa mujibu wa tafsiri ya flyover.
urge*
 
Wewe kwa akili yako unaona hapo ni pazuri sana liwe ndani ya jiji? A capital city fir that matter? Najua utataja kibera lakini usilojua ni kwamba kibera ni eneo ndogo sana Nairobi. Ukitoka kibera and slums in Nairobi, Huwezi kuta sehemu kama hiyo Nairobi. Ajabu ni kwamba karibu 80% of Dar inafanana hivyo. Nairobi mpangilio wa eststes ni level ya juu sana. Ndio maana siku zote hamleti picha za aerial residential eststes za Dar

wewe tumia akili kubishana.

nimekwambia niambie huduma gani hazipatikani hapo katika picha,umeishakaririshwa makazi bora yawe yanaangalia sehemu moja kama mabweni ya wakulima wa chai.

dar sio level yenu kijana,pamoja na data zako sjui 80% my foot,huwezi ikuta ktk orodha hata ya top 200 slums.hapo kuna nyumba hata tukuuze wewe na wakenya wengine 10000 hamfiki thamani.
 
watu wanajificha
Dude linaanza kuonekana kwa mbali. Naona wakenya wanaanza kujificha taratibu baada ya kuona Julius Nyerere International Airport Terminal 3 inaanza kupaa kwa kasi.
 
Dude linaanza kuonekana kwa mbali. Naona wakenya wanaanza kujificha taratibu baada ya kuona Julius Nyerere International Airport Terminal 3 inaanza kupaa kwa kasi.

walidhani tunatania.
 
Dude linaanza kuonekana kwa mbali. Naona wakenya wanaanza kujificha taratibu baada ya kuona Julius Nyerere International Airport Terminal 3 inaanza kupaa kwa kasi.
kwa airports unyamaze tu
 
kwa airports unyamaze tu
Wewe unasema rafiki. Mlikuwa mbele miaka ya nyuma na siyo sasa.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
dude hilo linashuka kwa kasi. Mwaka huu linaaza kazi. Mtakoma sasa wageni watakuwa wanakuja moja kwa moja bongo.

Bongo ya 90s siyo ya sasa rafiki

International_Domestic_Airstrip_A4.jpeg
 
usiwe unatoa data puani ama matakoni ndugu😀😀😀😀 watalii wanaopitia Kenya ni zaidi ya millioni 4 kila mwaka, wengi wao huwa wanaingia jijini kulala hata kama ni kwa usiku mmoja kisha wanafululiza kwenye destinations wanazotaka afrika mashariki...nchi kama Uganda haina airline hivyo watalii asilimia 90% na zaidi wanatua nairobi kwanza...this is the same for Tanzania, Rwanda etc...
Achana na huyo jamaa atakuambukiza ldc syndrome bure. 90% of the time he doesn't know what he say. Yeye bora ameongea
 
Wewe unasema rafiki. Mlikuwa mbele miaka ya nyuma na siyo sasa.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
dude hilo linashuka kwa kasi. Mwaka huu linaaza kazi. Mtakoma sasa wageni watakuwa wanakuja moja kwa moja bongo.

Bongo ya 90s siyo ya sasa rafiki

International_Domestic_Airstrip_A4.jpeg
You guys have two international airports. Kenya has six. someni nymber kabisa
 
Back
Top Bottom