Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Abeid Karume is in Zanzibar. Hiyo ni ya wanzanzibari. Alafu hii etc ndio airport gani. Hata nikiongeza Abeid Karume na etc bado ziko tano.
Tulia mambo yananoga siyo muda mrefu. Hahahahaha!!

ATCL_787.jpg

bombardier-cs300-fltbombardierlrw.jpg
 
my friend, history plays crucial role in a nations future....ukweli ni kwamba utalii wenu uko chini sana...haijafikia level ambayo inafaa iwe imefikia...yaani mnashindwa na nchi kama Botswana na Zimbabwe katika utalii licha ya kuwa na vivutio bora zaidi barani baada ya Misri😀😀😀😀huo utakuwa ni ujinga wa hali ya juu
I said here before, not untill Tanzanian govt educate well the Citizens, they will never go anywhere... They have to work on the software before the hardware...
 
Wewe unasema rafiki. Mlikuwa mbele miaka ya nyuma na siyo sasa.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
dude hilo linashuka kwa kasi. Mwaka huu linaaza kazi. Mtakoma sasa wageni watakuwa wanakuja moja kwa moja bongo.

Bongo ya 90s siyo ya sasa rafiki

International_Domestic_Airstrip_A4.jpeg
Zile vibanda vya mwanza na arusha ndo mnaongoza nazo?
 
Kama mabweni ya University of DODOMA, Hahaha!!
Hehehe...sura umekaza kimwanaume lakini moyoni unaumia sana. aya basi ebu leta aerial photo moja tu inayoonyesha mitaa za dar. Na Isiwe zile picha za mbezi beach mnaletanga huku. Nasubiri
 
Africa's Fastest Internet Speeds (MBPs)

1. Kenya = 12.16
2. Rwanda = 7.69
3. S.A = 6.74
4. Mauritius = 5.74
5. Morocco = 5.17
6. Lesotho = 5.07
7. Tunisia = 4.45
8. Nigeria = 3.85
9. Cape Verde = 3.85
10. Angola = 3.72
11. Zimbabwe = 3.69
12. Congo = 3.46
13. Ghana = 3.37
 
Umeanza kuchanganyikiwa kabla mambo hayajaanza kunoga
Dude hilo linaingia siyo muda mrefu
atcl.png

air-tanzania-787-8-boeing.jpg
Kumbe haiko, ndio inakuja?! Safi sana, sasa tafuteni rika zenu mcheze nao mchezo wa kalongolongo, sio KQ. Kq has been in this industry for the last 45 years wakati nyinyi hata kutembea hamjaanza, bado mnatambaa. Lanes please, lanes!!!
 
Tulia mziki ukuingie vizuri
Pitia video hii kwanza kabla hatujaanza mambo.

I thought you gonaa bring Tanzania's biggest Telco revenues' here to challenge Safaricom. Zombie
Unanionesha reports za 2015. Huoneshi umezitoa kwenye website ipi. Are you crazy or something!?
 
Kumbe haiko, ndio inakuja?! Safi sana, sasa tafuteni rika zenu mcheze nao mchezo wa kalongolongo, sio KQ. Kq has been in this industry for the last 45 years wakati nyinyi hata kutembea hamjaanza, bado mnatambaa. Lanes please, lanes!!!
Zakuuuuu Leaseeeee
 
Back
Top Bottom