Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
usiwe unatoa data puani ama matakoni ndugu😀😀😀😀 watalii wanaopitia Kenya ni zaidi ya millioni 4 kila mwaka, wengi wao huwa wanaingia jijini kulala hata kama ni kwa usiku mmoja kisha wanafululiza kwenye destinations wanazotaka afrika mashariki...nchi kama Uganda haina airline hivyo watalii asilimia 90% na zaidi wanatua nairobi kwanza...this is the same for Tanzania, Rwanda etc...Inamaanisha all international arrivals ni tourists bro mbona aibu haikuachi😀😀😀😀
Tanzania imepokea 2m only tourist wachana na other international arrivals my friend
Kwenye suala la tourism hilo sahau halitarudi