Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Guys now compare the picture of Dar I posted earlier with thi one of Nairobi and tell me which one between these two cities best fits the definition of a slum. This is part of Hurlingham estate in NairobiView attachment 692855
Nai iko ligi yake hapa east and central africa.....i doubt even if there is a west african city that beats nairobi
 
f8ca00eb746af91ae7c64c787e16d5f1.jpg
the ugly untarmacked houses and paths clearly visible even with exaggerated makeup
 
Wakenya hizi ng'ombe zilikua zikiletwa Kenya kuuzwa alafu nyinyi mnatuletea packed meat mpaka kwenye migodi yetu, sasa dawa yenu hii hapa, kijana mdogo kabisa wa Tanzania kawakaba koo,

Tanzania inasonga, Tanzania ya viwanda
 
Juzi Waziri wa mifugo kusema ataweka sheria hakuna processed meat kuingia Tanzania, hehehe Kenya mjipange Tanzania sio ya kispotspot siku hizi Wakenya hizi ng'ombe zilikua zikiletwa Kenya kuuzwa alafu nyinyi mnatuletea packed meat mpaka kwenye migodi yetu, sasa dawa yenu hii hapa, kijana mdogo kabisa wa Tanzania kawakaba koo,

Tanzania inasonga, Tanzania ya viwanda
 
Feelings peleka tandale. Thika is part of Nairobi metro. There are thousands of people who work in Nairobi but live in Thika but commute daily
Umejifunza ustaarabu sasa. Good boy.
 
Hizo vijiapartments mnajenga Dar zitakodishwa au kununuliwa na nani kama kila mtu Tz amejenga nyumba yake kwa shamba lake? You see the problem of lying about something actually results to one believing them as the gospel truth and now you can see the contradictions displayed by yourself. Wacha uongo
Nyingi wanakaa wageni,wakiwemo wakenya. Kiukweli bei ya kodi zake iko juu, raia wa kawaida ni afsdhali ajenge kuliko kuishi hapo.
 
Juzi Waziri wa mifugo kusema ataweka sheria hakuna processed meat kuingia Tanzania, hehehe Kenya mjipange Tanzania sio ya kispotspot siku hizi Wakenya hizi ng'ombe zilikua zikiletwa Kenya kuuzwa alafu nyinyi mnatuletea packed meat mpaka kwenye migodi yetu, sasa dawa yenu hii hapa, kijana mdogo kabisa wa Tanzania kawakaba koo,

Tanzania inasonga, Tanzania ya viwanda

Asante sana waziri wa mifugo na waziri mwijage wa biashara
 
CC: ichoboy01 I thought u said 700k tourists..yaani unatoa data matakoni 😀😀😀😀 and this was an election year...yaani kwa wingi wa watalii hamuwezi mkaikaribia Kenya.wale watalii wanaopitia Kenya hata kama tu ni kwa masaa machache ili muradi waelekee Ug, TZ na Rwanda ni wengi sana...pengine tu kwa wingi wa hela toka utalii ndio mnatuzidi...we border failed states like somalia and south sudan but we have led in tourist arrivals for decades...
 
nikaskia tena mwarab mjinga akisema tourism receipts Kenya 2017 ni $350 mln😀😀😀
that is $1.19 Billion in a year that was full of chaos, drought and elections
 
CC: ichoboy01 700k tourists😀😀😀😀 an this was an election year...yaani kwa wingi wa watalii hamuwezi mkaikaribia Kenya.wale watalii wanaopitia Kenya hata kama tu ni kwa masaa machache ili muradi waelekee Ug, TZ na Rwanda ni wengi sana...pengine tu kwa wingi wa hela toka utalii ndio mnatuzidi...we border failed states like somalia and south sudan but we have led in tourist arrivals for decades...

Inamaanisha all international arrivals ni tourists bro mbona aibu haikuachi😀😀😀😀

Tanzania imepokea 2m only tourist wachana na other international arrivals my friend

Kwenye suala la tourism hilo sahau halitarudi
 
Back
Top Bottom