Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it has 6 lanes pande moja...so a total of 12 lanes....kisha urefu ni 50km and even then we dont see it as a big dal jinsi mnavyo imba imba hizo flyover zenu...
Huku Hatuwez kuweka 6 lanes kwasababu once BRT ikifika pande zote za Jiji na Flyovers + Intersections zikimalizika hakutakua na Foleni..

Unajua Mfano kusingekua na BRT tungekua na 8 lanes Au 10_Jiji zima sema BRT imechukua nafasi Kubwa sanaa hata ivyo bado wanazidi kuchonga Barabara mfano kutoka nje ya Jiji zinajengwa 6 lanes na Kuelekea mikoani wameanza na 4 lanes mpaka CHALINZE approximately 40 - 50 something kilometers
 
thika road alone sijui ikona flyover ngapi...mingi sana hata kama fupi fupi
8310398727_7222798800_b.jpg
 
I see! Hizi ndiyo flyovers... Kama ni dereva wasiwasi unaweza jikuta ukipotelea huko huko juu, na ukishuka unajikuta upo sehemu ambayo hujakusudia kwenda...
true...hii lazima madereva wawe wamezoea ila nina uhakika hata huko ng'ambo huwa wanapata shida sana haswa madereva ambao hawajawahi tumia sehemu hii
 
Dar ina barabara kubwa nne hizo nne ni Dual Carriageway. Nazo ni Mandela Road(Sam Nujoma),Nyerere(Bibi Titi,Ali Mwinyi), Morogoro Road,Kawawa Road.
Fupi hapo ni Kawawa ina kama 10km hivi, hio Nyerere ina kama 40km(airport to tegeta),Morogoro road ina kama 20km na Mandela nayo kama 20km hivi. Hizi dual carriageway ndio zinakufikisha popote utakapo around Dar.
It's so funny that you can count the mumber of dual carriageways in Dar! Is that really a city? The other time you were even counting the number of footbridges in your city. I was suprised that the total number of footbridges in Dar can't even reach half the number of footbridges on thika road alone. Sasa leo mnacount hadi the number of roads with dual carriageways! In Nairobi they are so many we can't even count. Another reason why this comparison is useless.
 
the only flyover I can be proud of is this one if it was built in Kenya...sio hizo barabara zimeinuliwa mnajigamba gamba nazo...this is my example of true flyover development...this is spaghetti interchange consisting of numerous flyovers at one place
Spaghetti-Junction-Crop.jpg
131070057.5VgKow44.I5andI90interchangeStandardemailview.jpg
Safi sana huo mzigo...
ila Africa ya kusini wanamizigo mob kama Iyo
7d72a601d59c01989234d4322ce3e904.jpg
176a0cb006022355a2efa1be900be4ba.jpg
43190f5292cf25fcb67cdf0426c6c31f.jpg

Tujifunze Kwa waafrica wenzetu
 
Mzee unafananisha Tazara flyover na hivyo vidaraja substandard vya 10 metres?
Kuwa serious!
Tazara is two-lane elevated road while "daraja" zetu ni four lanes. Now which one between the two is superior?
 
Hiyo sio flyover nituta la barabara limeinulïwa even the class 4 engineer in TZ can do that
okay no problem ila flyover zipo kama vile outer ring na kadhalika...sijui ia kama hio utaita daraja😀😀
 
Back
Top Bottom