Utavunja mbavu zang aisee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bullet train inakichwa matatu
Weka selfie tuamini ni yako
mimi ndio nilifanya wanjala awe anaingia jf kwa kujificha....ilikuwa ni zile post za azam tv.kuna wakati tulipelekeshana sana kuhusu azam tv.
wanjala ni mmoja ya wakenya wanaoichukia sana azam tv. sijui ilimkosea nini.pia ni mmoja ya wale wakenya wanao underestimate sana bidhaa za tz.
azam tv ilipopata kandarasi ya kuonyesha cecafa nchini kenya mwaka 2017, wanjala alipigwa na butwaa asiaminini kile alichokiona.
kwa kulitambua hilo nikawa nam-bully na kumtag post zangu zote kuhusu uhusika wa azam tv katika cecafa.
tangia hapo ndio akapotea mazima ili kuficha aibu...siku hizi huwa anagia jf kwa kujificha.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli kadoda ulikua unamkomalia Wanjala ukamwandikia na memo ukaipiga pichaNao hawa watakimbia soon
Icho usifikiri unakomesha tu wakenyawe jamaa sio
Ichoboy naomba uniazime hiyo saa nataka nikachumbie kibera nasikia nikienda nayo huko nitapewa mtu na mama yake together!![]()
![]()
kuna video clip mbili za tukio la kiharifu nimeona leo ziki-trend kwenye pages za watz wa instagram.
wengi kwa kutokuelewa au bila kuchunguza, wanadhani tukio lile limetokea tanzania.
binafsi nimefanya uchunguzi na kugundua tukio lile halijatokea tz bali limetokea nchini kenya.
namba plate kwenye gari inaonyesha ni ya kenya...inaanza na herufu "K".
![]()
![]()
kwa ambaye hajui nazungumzia tukio gani, anaweza ku-download video clips nilizo-attach hapa chini.
pole sana kaka...hatari sana.something similar happened to me and my bro back in 2012 November......sijawahi sahau.....you realize there is a thin line between life and death when a cold nozzle of a gun is pressed against your skuĺl.......
huo ni wimbo tuliokwisha uzoea...tafuta wimbo mwingine.Tanzania is one of the least-developed countries in the world

yani wewe uniamrishe mm chakufanya, bogusWeka selfie tuamini ni yako
Ni vizuri Umekubali hali yenu ya umasikini sasa Soma Taarifa yote tena.huo ni wimbo tuliokwisha uzoea...tafuta wimbo mwingine.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mimi ndio nilifanya wanjala awe anaingia jf kwa kujificha....ilikuwa ni zile post za azam tv.kuna wakati tulipelekeshana sana kuhusu azam tv.
wanjala ni mmoja ya wakenya wanaoichukia sana azam tv. sijui ilimkosea nini.pia ni mmoja ya wale wakenya wanao underestimate sana bidhaa za tz.
azam tv ilipopata kandarasi ya kuonyesha cecafa nchini kenya mwaka 2017, wanjala alipigwa na butwaa asiaminini kile alichokiona.
kwa kulitambua hilo nikawa nam-bully na kumtag post zangu zote kuhusu uhusika wa azam tv katika cecafa.
tangia hapo ndio akapotea mazima ili kuficha aibu...siku hizi huwa anagia jf kwa kujificha.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli kadoda ulikua unamkomalia Wanjala ukamwandikia na memo ukaipiga pichaNao hawa watakimbia soon
Icho usifikiri unakomesha tu wakenyawe jamaa sio
Ichoboy naomba uniazime hiyo saa nataka nikachumbie kibera nasikia nikienda nayo huko nitapewa mtu na mama yake together!![]()
![]()
Weka selfie tuamini ama ni ya baba/Muindi pale dukani ulipoajiriwa? Nasikia ukiajiriwa kazi na muhindi unafanya kazi hata za ziada bila malipo kama vile kuosha vyombo, kufua nguo na pia kupika?yani wewe uniamrishe mm chakufanya, bogus
sikununua ili wewe ujue 😀😀😀
Naona umeshikiwa kichwa na mzungu,sasa 70% ya watu million 50 ni 12M? Ujinga ni real kwako!!SEATTLE — Tanzania is one of the least-developed countries in the world, and though the poverty rate is slowly decreasing, a significant amount of its citizens remain impoverished. In 2012, 12 million Tanzanians lived in poverty, about
70 percent of the population. One out of seven of those living in poverty lived in extreme poverty, surviving on the equivalent of less than $1.25 a day.
About 34 percent of Tanzanians live below the basic needs poverty line, meaning they lack the minimum resources that people need to be physically healthy. There have been small improvements since 2012, but poverty is still an obvious issue. So what are the causes of poverty in Tanzania?
Many of the causes are unfortunately all too familiar in discussions of poverty around the world. Poor access to and knowledge about healthcare, insufficient nutrition due to food insecurity, and a lack of education all play a role in Tanzania’s poverty. However, other factors cause poverty in Tanzania as well, including problems with agriculture and a high rural population.
The poor healthcare system in Tanzania is largely the fault of unequal distribution of finances within the system. About 85 percent of healthcare spending goes to central urban hospitals, but only about 10 percent of the population has access to these hospitals. This means that 90 percent of the population has to rely on 15 percent of the country’s healthcare funding. This leads to a severe lack of resources, resulting in many people being inadequately or improperly treated. This small amount of resources also fails to treat many of the diseases common to those in poverty, including tuberculosis, malaria, HIV, diarrhea, and cholera. Thousands of people, many of them children under the age of five, die of these illnesses every day.
People are also forced to deal with malnutrition and food insecurity.
Speaking About the Causes of Poverty in Tanzania
Haha shopkeeperMacbook pro 2017 touch bar mm nimenunua 3000 usd😀😀😀😀😀😀
Anauza kwa shop alafu analala upstairs Kariakoo.....Na icho mbona izo picha zako zote ni kwa hiyo hiyo godoro...kwani wewe hushinda indoors kila siku.?
ama ni kwa company unaishi
Picha zote unapiga place moja kila sikuIchoboy kununua iphone X munatokwa na mapovu namna hiii😀😀😀😀😀
Kama kariakooThis is part of eastlands area in Nairobi. I can see parts of Buru Buru estate, Donholm estate, Umoja Innercore, Umoja 1 and Umoja 2 estates. One can cleaely see how well-planned these estates are though they are in the eastlands part of Nairobi. Ask a Tanzanian to show you esrial views of Dar estates like the one above, utangoja sana. To them, Nairobi is Kibera and Kibera is Nairobi View attachment 691820