Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sonko naona kaamua kuingiza politics kwa issue ya muggers wa CBD.

kuondoa ma-youth street za cbd haitasaidia kupunguza ukora nairobi.
bado watu watakuwa wanaporwa na kupigwa ngeta kama kawaida.

angeenda kwenye kiini cha tatizo ambacho ni ukosefu wa ajira.
34eb402731cc008b42312d0290dd44ce.jpg
0bce4ad01da9e3cce26d14ce0166331a.jpg
56d31c061efddf1513380342f408e830.jpg
670290f5298e4284e8301634ac45ab47.jpg
492c1d8750e6852213ba9c180c03a89f.jpg
8baa1e308a4cf6ccd63a7b15401b90e9.jpg
4df68530c0e2afaf810b4cd17ebdface.jpg
b8a802fba82d32c47883f1294c2c4b6e.jpg
494ce00341f8e98a432271e43240db26.jpg


NB:
katika hizo picha, kuna sura za wakora ambao nawafahamu, yupo collo na. mwaswast
 
Ujenzi wa tallest luxury apartments in Africa unaanza April 2018, Upperhill Nairobi...Jengo lenyewe linajengwa karibu na Prism Tower na linatarajiwa kukamilika mid-2020...majengo mapya ambayo yanajengwa kwa sasa kwanzia urefu wa 140 metres kuenda juu sasa ni zaidi ya 7...Pinnacle, ambayo itakuwa ndio refu kabisa Kenya na Africa itakuwa na urefu wa 300 metres na 200 metres ...Jengo refu kabisa Kenya na Afrika Mashariki kwa sasa ni Britam Tower (200m) ikifuatwa na UAP Tower (163m)
Ofisi ya developer hii hapa
show-apartment4.jpg
show-apartment1.jpg
show-apartment2.jpg

Renders za apartments hizi hapa
garden8.jpg
garden6.jpg
garden1.jpg
garden5.jpg
Thanks for render bro as usual😀😀😀
 
Weka selfie tuamini ama ni ya baba/Muindi pale dukani ulipoajiriwa? Nasikia ukiajiriwa kazi na muhindi unafanya kazi hata za ziada bila malipo kama vile kuosha vyombo, kufua nguo na pia kupika?
sikuekei ww bogus kama unataka kuiona njoo getto hakikisha uje umevaa kanga😀😀😀
 
Maumivu makali sana yamekushika ipasavyo
nilikwambia usiowaonyeshe vitu vizuri,watakasirika.....unaona sasa wameanza kujadili personality badala ya issues...hawapendi kuona watz wanaishi good life. wanataka sote tuishi maisha ya kikora kuibia watu mikoba yao cbd.
 
nilikwambia usiowaonyeshe vitu vizuri,watakasirika.....unaona sasa wameanza kujadili personality badala ya issues...hawapendi kuona watz wanaishi good life. wanataka sote tuishi maisha ya kikora kuibia watu mikoba yao cbd.
😀😀😀😀😀😀 Wanaumia sana aise
 
Back
Top Bottom