Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daresalam ni mji wa mwisho duniani..,wale ambao wanaousifia mji wa Daresalam wanatakiwa watembee miji ya wenzetu wajionee...

Mji hauna hata vyoo vya umma (Public toilets),kweli unaweza kuusifia mji kama huo...,nawakilisha
lol
 
Shirika la Maendeleo la Japan Laishauri Serikali kujenga usafiri mwingine Wa Reli Jijini
8650886d4ea617fed23ef6331b10d544.jpg

Mwarobaini wa kupunguza foleni Dar huu hapa
 
Kenya middle class ni wengi. Bado tutalipa tu hata waweke Ksh. 10k
Usafiri wa train ni kwa ajili ya poor people sio middle class ambao wanapaswa kutumia buses na private transport, kwa kupandisha nauli hadi kufikia zile za buses maana yake lower class imetengwa kama ilivyokawaida kwa wakenya, Kenya hamuwathamini kabisa wananchi masikini" This time tomorrow by Ngugi wa Thiong'o"
 
bla bla bla......
 
G'morning....naona mnazidi kuwekana sawa hadi kieleweke,Haha Kadoda,ichoboy,Ndinda,colloh,Jay,Elmat,Kichwangumu,Wadau wote humu kama nimekusahau don't worry Today is my birthday. ...Happy birthday to me!!
Happy birthday axee
 
Back
Top Bottom