Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mafakhari wawili zizi moja
782CCCAC-6888-4870-9385-E3039CFAFB48.jpeg
 
This is part of eastlands area in Nairobi. I can see parts of Buru Buru estate, Donholm estate, Umoja Innercore, Umoja 1 and Umoja 2 estates. One can cleaely see how well-planned these estates are though they are in the eastlands part of Nairobi. Ask a Tanzanian to show you esrial views of Dar estates like the one above, utangoja sana. To them, Nairobi is Kibera and Kibera is Nairobi View attachment 691820
Without Forgetting [HASHTAG]#KIBERA[/HASHTAG] estate
 
Collo unanyamazishwa kinyonge kama Wanjala budaaaaa
mimi ndio nilifanya wanjala awe anaingia jf kwa kujificha....ilikuwa ni zile post za azam tv.kuna wakati tulipelekeshana sana kuhusu azam tv.

wanjala ni mmoja ya wakenya wanaoichukia sana azam tv. sijui ilimkosea nini.pia ni mmoja ya wale wakenya wanao underestimate sana bidhaa za tz.

azam tv ilipopata kandarasi ya kuonyesha cecafa nchini kenya mwaka 2017, wanjala alipigwa na butwaa asiaminini kile alichokiona.

kwa kulitambua hilo nikawa nam-bully na kumtag post zangu zote kuhusu uhusika wa azam tv katika cecafa.

tangia hapo ndio akapotea mazima ili kuficha aibu...siku hizi huwa anagia jf kwa kujificha.
 
Kweli kadoda ulikua unamkomalia Wanjala ukamwandikia na memo ukaipiga picha Nao hawa watakimbia soon
 
AMANI ni kitu muhimu sama
View attachment 691824
inaonekana mtandao ulionyuma ya biashara hii haramu ni mtandao hatari sana,hata mtandao wa mafia wa madawa ya kulevya una nafuu.

nakumbuka mwaka jana au mwaka juzi kuna mzungu aliuwawa eneo la masaki dar.

yeye pia alikuwa ni mwanaharakati wa kupinga biashara hii kama huyo aliyeuwawa kenya.
 
mimi ndio nilifanya wanjala awe anaingia jf kwa kujificha....ilikuwa ni zile post za azam tv.kuna wakati tulipelekeshana sana kuhusu azam tv.

wanjala ni mmoja ya wakenya wanaoichukia sana azam tv. sijui ilimkosea nini.pia ni mmoja ya wale wakenya wanao underestimate sana bidhaa za tz.

azam tv ilipopata kandarasi ya kuonyesha cecafa nchini kenya mwaka 2017, wanjala alipigwa na butwaa asiaminini kile alichokiona.

kwa kulitambua hilo nikawa nam-bully na kumtag post zangu zote kuhusu uhusika wa azam tv katika cecafa.

tangia hapo ndio akapotea mazima ili kuficha aibu...siku hizi huwa anagia jf kwa kujificha.
Ukute kaingia na Id mpya ya mwaswast
 
icho utafanya "muggers" waanze kutoa mapovu....wataacha ku-discuss issues badala yake watahamia ku-discuss personalities na kufanya character assassination.

please usiwaonyeshe vitu vizuri kama hivyo...hawatataka kukubari kwamba umewazidi kipato.
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Without Forgetting [HASHTAG]#KIBERA[/HASHTAG] estate
Ndo maana nikasema kwamba to you danganyikans, Nairobi is kibera. hivyo ndivyo mitaa za Nairobi hufanana ukitoka nje ya slums. Wewe leta picha ya dar estates kama hiyo. I can bet my last penny kwamba utaleta picha za unplanned settlements aka slums
 
Back
Top Bottom