Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna Tables/Charts kwa hii thread.... pitia pitia tu, utaona Kenya's Middle Class ni wengi kushinda Tz, Ug, Rwanda, Burundi combined
5.5 Millions Tanzanians are middle class, and the number is increasing, that is 10% of the populatio.
http://allafrica.com/stories/201509220924.html
Hehehe maumivu makali😀😀😀😀

Endelea kuota tu maumivu yakokushika muone daktari😀😀😀😀😀😀
 
6473.jpg
6466.jpg
 
piga picha urudishe kwa box ....naona stock zako hazinunuliki.........

hivi kumiliki simu ya ks 170k ni kitu cha ajabu huko kwenu eh???

tukiwaambia mko na uchumi wa uongo mnabisha,immagine hata wewe si miongoni mwa upper middle class wa kenya na unashangilia kuishi nchi ya UMC.
 
Na icho mbona izo picha zako zote ni kwa hiyo hiyo godoro...kwani wewe hushinda indoors kila siku.?
ama ni kwa company unaishi
 
hivi kumiliki simu ya ks 170k ni kitu cha ajabu huko kwenu eh???

tukiwaambia mko na uchumi wa uongo mnabisha,immagine hata wewe si miongoni mwa upper middle class wa kenya na unashangilia kuishi nchi ya UMC.


kadoda si alipjgwa na butwaa na kutaja mshahara ya 130k
 
This is part of eastlands area in Nairobi. I can see parts of Buru Buru estate, Donholm estate, Umoja Innercore, Umoja 1 and Umoja 2 estates. One can cleaely see how well-planned these estates are though they are in the eastlands part of Nairobi. Ask a Tanzanian to show you esrial views of Dar estates like the one above, utangoja sana. To them, Nairobi is Kibera and Kibera is Nairobi
6480.jpg
 
Back
Top Bottom