Hii ni kasi ya kimbunga kuna watu tutawakuta bado wapo kwenye handaki wanachoronga maweTutaelewana tu. Mwendo mkali sana. Halafu Isaka - Kigali mwenzi wa kumi.
Safi but mzigo umetuliaOff topic
Aim Mall Arusha
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Labda agawe rangi bure😀😀😀😀
Vile unajifanya huoni ujenzi ukiendelea 😀😀pwahahaha ikwapi reli?😀😀😀😀naona nyasi na vumbi tu mie😀😀😀
Tanzania inapaa (hapa amekosea KIA kipo kilimanjaro, Songwe kipo Mbeya ambacho ndio hichi)
Povu la mtu mwenye njaa sana😀😀😀no no no ..if a woman hits you, you walk away.....
Sonko atakua ana acnt JF. Maana mmesemwa sana humu!! kumbe kuwasema inasidia. Muwe na shukrani sasa.

weeeekaribu sana siemens
isaka to kigali SGR ishapata mwekezaji tayari
Siemens to Bid for Isaka – Kigali Railway Project