joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Huwezi kupata heshima duniani kama unatoka katika nchi iliyojaa ukabila, rushwa, mauaji ya kiholela, njaa, slums na tofauti kubwa ya matajiri na masikini, utaulizwa nini umefanya ili kusaidia nchi yako yenye matatizo mengi na ya msingi kama hayo.Anajulikana dunia nzima we bongolala ndo himjui