Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii story ya ardhi mnatowamga wapi? Nani aliwaambia wakenya hawana ardhi. Mimi ninamiliki ardhi niliyoridhi kutoka kwa bababngu ambaye pia aliridhi kutoka kwa babake (babu yangu). Kuna huwezekano kwamba babu yangu pia aliuridhi kutoka kwa babake...Continue soothing your egos. Huku kenya hatulease ardhi kutoka kwa serikali vile mnafanya huko vongolala. Huku kila mtu anakuwa mmlili wa ardhi milele na anapewa title deed ya hiyo kipande cha ardhi. Sasa kati yetu na nyie na nani ndio hana ardhi? kwa sababu nyngi mnalease from the government for certain period of time
kwaiyo na wazungu nao walilithi kutoka kwa babu zao au sio

Je jaribu kufanya yafiti ni wakenya wangapi hawana ardhi na watz wangapi hawana ardhi

Pili kasome riwaya ya mkenya mwenzenu ngugi wathiong'o kitakukomboa kutoka utumwa wa fikra nahisi kwenu kitakua kimezuiwa
 
Ardhi unamiliki miaka 99 watoto wako wanarenew tena kuendelea...ikitokea serikali inamradi ambao utapitia kwenye ardhi yako wanakulipa fidia unahama pale. ...that means ardhi yako kama inamanufaa kwa nchi unalipwa upishe mradi...na hata kama ulijenga ghorofa utalipwa stahiki zako...
Ndio maana nimesema policies za ardhi kati ya hizi nchi ni tofauti kabisa. In kenya we don't lease land. The keyword here is LEASE. When you lease something, it doesn't belong to you, it belongs to the person you've leased it from (in this case your government). In kenya land is only leased to foreigners for a period of 99 years, not kenyans. Mkenya ambaye amezaliwa na kulelewa Kenya doesn't lease land from the government. He or she owns that land 100% till God knows when. Umeelewa sasa mtoto wa danganyika?
 
kwaiyo na wazungu nao walilithi kutoka kwa babu zao au sio

Je jaribu kufanya yafiti ni wakenya wangapi hawana ardhi na watz wangapi hawana ardhi

Pili kasome riwaya ya mkenya mwenzenu ngugi wathiong'o kitakukomboa kutoka utumwa wa fikra nahisi kwenu kitakua kimezuiwa
Kawaida yenu you think everything good in kenya is being owned or done by the white man. Hata Nairobi mnaamini ilijengwa na wazungu. Continue living in denial
 
Ndio maana nimesema policies za ardhi kati ya hizi nchi ni tofauti kabisa. In kenya we don't lease land. The keyword here is LEASE. When you lease something, it doesn't belong to you, it belongs to the person you've leased it from (in this case your government). In kenya land is only leased to foreigners for a period of 99 years, not kenyans. Mkenya ambaye amezaliwa na kulelewa Kenya doesn't lease land from the government. He or she owns that land 100% till God knows when. Umeelewa sasa mtoto wa danganyika?
Je ni wakenya wangapi wasio na ardhi
 
Kawaida yenu you think everything good in kenya is being owned or done by the white man. Hata Nairobi mnaamini ilijengwa na wazungu. Continue living in denial
Nakusisitizia tena kasome vitabu vya Ngugi vitakusadia
 
more of kilimani
6224.jpg
 
mugger, don't you ever try again to ask land related questions in kenya,we will leave you naked.

please don't make us post material contents that will make u regret being a kenyan citizen.

5437f45165677160895d67490cb47143.jpg
8a58ba4c954b9dba16d2ea4b434cce2a.jpg
03c2218750e23b3030a7767791479411.jpg
d2498bb0cf745b06eea878fd57a75eb9.jpg
Wakenya ni tuhuma za kweli hizi
 
Tunavyosema vijana wakikenya hawana malengo mnakataa sasa nini maana ya vijana kenya kudai uhuru kupitia maumau

Au walitaka tu kuona mtu mweusi anatawala kwa niaba ya mkoloni
 
mugger, don't you ever try again to ask land related questions in kenya,we will leave you naked.

please don't make us post material contents that will make u regret being a kenyan citizen.

5437f45165677160895d67490cb47143.jpg
8a58ba4c954b9dba16d2ea4b434cce2a.jpg
03c2218750e23b3030a7767791479411.jpg
d2498bb0cf745b06eea878fd57a75eb9.jpg
Ndo wanataka kuwafananisha wapuuzi wakenya na Nyerere ivi wakenya elimu yenu ndo bora EAC
 
Msikilize Mugabe kwanza hapo juu tusije kua tunakulaumu bure kumbe hujui chochote abt him ukizingatia wakati wenzenu tunafight Africa freedom, nyie mlikua mnamramba makalio mzungu ..idiot snitches
Baada ya mzungu kuwapa uhuru wenu mmejikomboa kutoka kwa umasikini na ujinga
 
Back
Top Bottom