joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Did Obama win Noble Price?did nyerere win a Nobel Price?
Must be facts from Kibera
Did Obama win Noble Price?did nyerere win a Nobel Price?
Must be facts from Kibera
Nimbie msada aliyowapa wakenya kama mpaka leo kama kuna mtu anamiliki ekari 200000 mwingine hana kabisaAnajulikana dunia nzima we bongolala ndo himjui
Kwa matatizo ambayo maskini wa kenya mnayapitia hakika uyo alitetea tumbo lakeUtamwaga emotions zako zote hapa kama mke anayejifungua lakini facts are facts
![]()
Je amewatetea maskini wakenya mpate japo kipande cha ardhidid nyerere win a Nobel Price?
Obama wonDid Obama win Noble Price?
EvidenceObama won
hiyo heshima angeanza kuipata babu yao mzee jomo kenyatta.Huwezi kupata heshima duniani kama unatoka katika nchi iliyojaa ukabila, rushwa, mauaji ya kiholela, njaa, slums na tofauti kubwa ya matajiri na masikini, utaulizwa nini umefanya ili kusaidia nchi yako yenye matatizo mengi na ya msingi kama hayo.
Utumwa kenya hauji kwishahiyo heshima angeanza kuipata babu yao mzee jomo kenyatta.
leo hii hakuna taifa hata moja linalo mpa hadhi ya kieshima mzee yule sumbuse huyo bibi kizee wao.
Na Nyerere aliwasaidia na nini kama hadi wa leo bado mko masikini wa kutupwa na kuitwa ldc?Nimbie msada aliyowapa wakenya kama mpaka leo kama kuna mtu anamiliki ekari 200000 mwingine hana kabisa
Hii brt inwapa kiwewe sana nyinyi wabongolala. Nairobi has world class roads so the city in the sun is still ahead of Dar in matters transportation. Tukianza kupost barabara za Nairobi hapa kutakalika kweli? Keep your brt, we have superior roads than anything you have in Darishasemwa sana kwamba mradi wa BRT hauwezi kutekelezeka kenya na hata hapa kwenye thread tulishawahi jadiri siku za nyuma.
sasa mliwalete dar kufanya nini?... kushangaa uzuri wa BRT yetu bila shaka.
basi sawa endeleeni kufanya study tour kwa vitu ambavyo hamuwezi kuvi-achieve.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
unajenga barabara wakat wananchi hawana chakula na maji hizo ndio akili za kitumwaHii brt inwapa kiwewe sana nyinyi wabongolala. Nairobi has world class roads so the city in the sun is still ahead of Dar in matters transportation. Tukianza kupost barabara za Nairobi hapa kutakalika kweli? Keep your brt, we have superior roads than anything you have in Dar
Sisi ni ldc hatukatai lakini tulipota uhuru kila mtu alipewa ardhi na wazungu walinyang'anywa ardhi wanyonge wakapewa sasa nin maana yakudai uhuru huku wakenya huku ardhi ambayo ni msingi wa uzalishaji mali mkawaachia wazunguNa Nyerere aliwasaidia na nini kama hadi wa leo bado mko masikini wa kutupwa na kuitwa ldc?
uhuru kenyatta pekee anamiliki ardhi 15,000 km sq ni eneo kubwa zaidi ya jamaica😀😀😀Sisi ni ldc hatukatai lakini tulipota uhuru kila mtu alipewa ardhi na wazungu walinyang'anywa ardhi wanyonge wakapewa sasa nin maana yakudai uhuru huku wakenya huku ardhi ambayo ni msingi wa uzalishaji mali mkawaachia wazungu
Ebu cha mkenya Ngugi wathiong'o kinaweza kikakukomboa tutoka ktk utumwa wa fikra
Ndo ujaribu kua mtz uone urahisi wakumiliki ardhi ambayo ndo msingi wa utajiri
Sasa mliwatuma experts wenu kuja kujifunza nn??Hii brt inwapa kiwewe sana nyinyi wabongolala. Nairobi has world class roads so the city in the sun is still ahead of Dar in matters transportation. Tukianza kupost barabara za Nairobi hapa kutakalika kweli? Keep your brt, we have superior roads than anything you have in Dar
Hii story ya ardhi mnatowamga wapi? Nani aliwaambia wakenya hawana ardhi. Mimi ninamiliki ardhi niliyoridhi kutoka kwa bababngu ambaye pia aliridhi kutoka kwa babake (babu yangu). Kuna huwezekano kwamba babu yangu pia aliuridhi kutoka kwa babake...Continue soothing your egos. Huku kenya hatulease ardhi kutoka kwa serikali vile mnafanya huko vongolala. Huku kila mtu anakuwa mmlili wa ardhi milele na anapewa title deed ya hiyo kipande cha ardhi. Sasa kati yetu na nyie na nani ndio hana ardhi? kwa sababu nyngi mnalease from the government for certain period of timeSisi ni ldc hatukatai lakini tulipota uhuru kila mtu alipewa ardhi na wazungu walinyang'anywa ardhi wanyonge wakapewa sasa nin maana yakudai uhuru huku wakenya huku ardhi ambayo ni msingi wa uzalishaji mali mkawaachia wazungu
Ebu cha mkenya Ngugi wathiong'o kinaweza kikakukomboa tutoka ktk utumwa wa fikra
Ndo ujaribu kua mtz uone urahisi wakumiliki ardhi ambayo ndo msingi wa utajiri
Kwani dar hakuna barabara Au?Hii brt inwapa kiwewe sana nyinyi wabongolala. Nairobi has world class roads so the city in the sun is still ahead of Dar in matters transportation. Tukianza kupost barabara za Nairobi hapa kutakalika kweli? Keep your brt, we have superior roads than anything you have in Dar

is it ?Haha afu hawa mafara wanalialia humu hawajitambuiuhuru kenyatta pekee anamiliki ardhi 15,000 km sq ni eneo kubwa zaidi ya jamaica😀😀😀
Ardhi unamiliki miaka 99 watoto wako wanarenew tena kuendelea...ikitokea serikali inamradi ambao utapitia kwenye ardhi yako wanakulipa fidia unahama pale. ...that means ardhi yako kama inamanufaa kwa nchi unalipwa upishe mradi...na hata kama ulijenga ghorofa utalipwa stahiki zako...Hii story ya ardhi mnatowamga wapi? Nani aliwaambia wakenya hawana ardhi. Mimi ninamiliki ardhi niliyoridhi kutoka kwa bababngu ambaye pia aliridhi kutoka kwa babake (babu yangu). Kuna huwezekano kwamba babu yangu pia aliuridhi kutoka kwa babake...Continue soothing your egos. Huku kenya hatulease ardhi kutoka kwa serikali vile mnafanya huko vongolala. Huku kila mtu anakuwa mmlili wa ardhi milele na anapewa title deed ya hiyo kipande cha ardhi. Sasa kati yetu na nyie na nani ndio hana ardhi? kwa sababu nyngi mnalease from the government for certain period of time