Mchepuko wa hatari jamaa
Utamsikia kafika China
Utamsikia kafika China
Kesho ntakukuta humu ntashangaa...afu kila siku mnahamasishana msichokiweza kufanya,unataja nchi zilizowazidi kwa mbali kabisa hehe ww Egypt iliowazidi GDP Zaidi ya $ 250 bln bado unakaa kuiwaza?Kenya yote inazidiwa uchumi na jozi sasa kwann usijihurumie ubaki njia kuu
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app