Ni sheria bro ardhi hairuhusiwi kumilikiwa na mgeni yeyoteChonde chonde, mpende jirani yako kama unavyojipenda
Hakuna masikini anayeweza kupata chakula cha kutosha, mwenye makazi na malazi, mwenye kupata maji safi na salama, ukosefu wa hayo matatu ndiyo tunaita umasikini, Kenya yote hayo ni shida kubwa.Vipi tanzania kuwa chimbuko la chakula hehe,ardhi mlonayo,rasilimali mlopewa na Mungu,iweje bado mwatapatapa kwenye lindi la umaskini,hadi category ya LDC mko ndani????
Hata mngepewa Ardhi ya Africa nzima, ingechukuliwa na watu wachache kama ilivyo South Africa. Kwa jinsi ulivyomwendawazimu, unaisifia SA kwa kuangalia economic na maendeleo ya miundombinu, lakini hutazami ni watu gani wenye kufaidika na mambo hayo, hapo ndipo tunapotofautiana kati yetu na ninyi. Sisi tunajenga maendelea ya watu"people centered economyKenya ingepewa vyote mlivyobavyo bila shaka hata South Africa haingetufikia,ila kwa sasa mafuta tumeshapata,na ushafishaji utapoanza namba ndio mzidi kuisoma kwelikweli
Du! Haya si malori!!IN LDC COUNTRY TANZANIA-2018
![]()
![]()
![]()
IN D C COUNTRY KENYA-2018
![]()
Wanakumbia wana Milionea wengi!!Du! Haya si malori!!
Usafiri gani huu


Huku nako unataka kujenga hoja ili kuhalalisha sera mbovu za uchumi wa kibepari mlizorithi toka kwa wakolono?. Employment inahusisha kazi yoyote halali inayofanywa kwa lengo la kujipatia kipato halali, haina maana kuajiriwa pekee, kwa taarifa yako, watanzania wengi wamejiajiri katika private sector, hasa katika sector ya kilimo, ninyi ardhi kubwa imechukuliwa na viongozi wenu na mabepari, lazima unemployment iwe kubwa sana, na bado mnatetea ubepari kwasababu imetengeneza matajiri wachache na kujenga Malls nyingi hapo Kenya.Kadoda hivi wewe umeajiriwa na serikali ama umejiajiri mwenyewe?
Hayo mafuta yenyewe lita kumi ndio unapigia kelele hahahahaKenya ingepewa vyote mlivyobavyo bila shaka hata South Africa haingetufikia,ila kwa sasa mafuta tumeshapata,na ushafishaji utapoanza namba ndio mzidi kuisoma kwelikweli
mafuta per day 2000 barrels wakati uganda anasukuma 216,000barrels per day through tanga😀😀😀😀😀Kenya ingepewa vyote mlivyobavyo bila shaka hata South Africa haingetufikia,ila kwa sasa mafuta tumeshapata,na ushafishaji utapoanza namba ndio mzidi kuisoma kwelikweli