Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona sisi tupo kwenye top ten ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi?, hayo mambo ua kujaza sifa zisizokua na faida sio utamaduni wetu.
So juu mnakiwa kwa kasi,inamaanisha mko juu kuliko kenya,SA,Ghana,.
iyo 7% kwa gdp ya 55.
 
Mnakua kwa kasi ila gap na Kenya inaendelea kuongezeka
Ni mtu kichaa kama walivyo wakenya anayeweza kuamini upumbavu huo, kwamba eti gari lenye speed ndogo lililotangulia linalofukuzwa na gari lenye speed kubwa, lakini bado lile la mbele bado gap linaongezeka, ujinga huo
 
Uchumi wa Kenya unakua kwa speed ya light, bei ya unga sasa kufulia dola za kimarekani 50 kwa kilo na mjini Nairobi kila nyumba ikipata bomba la maji bure pamoja na maziwa ukanda wa Karen kwa kuanzia

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Haya twende

(GDPs from world bank)

Tanzanian - kenya = gap

2015. 43.7b - 63.1b = 19.4b

2016. 47.5b - 70.8b = 23.3b
55 - 51.3 = 3.7b diff keep it in ur mind😀😀😀😀😀 according to world bank october 2017
endeleeni kupika data as usual


alaf ukumbuke debt to GDP ratio is 60% KENYA
 
55 - 51.3 = 3.7b diff keep it in ur mind😀😀😀😀😀 according to world bank october 2017
endeleeni kupika data as usual


alaf ukumbuke debt to GDP ratio is 60% KENYA
Hahaa we jamaa lazma una shida ya akili.....work bank ya kule Tanganyika au?
 
Hahaa we jamaa lazma una shida ya akili.....work bank ya kule Tanganyika au?
Huo ndio ukweli nakupa endeleeni kupika data ila hesabu itawaumbua tu😀😀😀😀😀

kama nchi imefkia debt to GDP ratio 60% bado unasema kuna uchumi hapo😛😛😛😛😛
 
good afternoon comrades,
one thing that most of these muggers are not aware about tazara flyover is that it has a special lane for brt.

i repeat, tazara flyover has a special lane for brt.could be the the first BRT-flyover in EA.

it will take centuries for kenya to have flyovers of this kind.

c9655ef38ea67094f838960524f686d0.jpg
26fc25bda3506c63f338f43c65564b65.jpg
482b6af57ebf7561e31b81d38440afde.jpg
5670985e9790846c172e4aed896ee5eb.jpg
f7f4b837eabdf987de14afd2c2992b2d.jpg
53269af6455c75d392f15ca8083867a5.jpg
 
Huo ndio ukweli nakupa endeleeni kupika data ila hesabu itawaumbua tu😀😀😀😀😀

kama nchi imefkia debt to GDP ratio 60% bado unasema kuna uchumi hapo😛😛😛😛😛
Deni ya Kenya ni around 43b USD which is 56% of Kenya's GDP...Fanya hesabu yako uache kutumia akili kama kuku
 
Back
Top Bottom