Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JNIA terminal 3 mwaka huu itakua tayari...
9682ed54b844b0c0131a50ba0554ea30.jpg
 
Maskini wa kutupwa nyinyi.... Iweje wenye shibe waje kwenye nyi yenye njaa kuomba omba, does it even make sense???and mind you that's bungoma what is to say how many of your fellows are in the bigger cities and towns of kenya
Kichaa wewe, hao wanaokuja huko umeambiwe ni disabled na watoto. Sisi hatuombi wala kusaidiwa chakula kama ninyi, wala hatuishi katika slums na hatuna tatizo la employment, our standard of living is far higher than yours.
 
Unajiskia ulivyo empty kichwani...utakuaje na higher standard of living na huna tatizo la unemployment ilhali maelfu ya watanzania wanakimbilia Kenya kuomba omba. Nilishangaa hadi kule wajir utawapata???ingekua vice versa wakenya kuja kuomba omba Tanzania
 
Mtu kuwa ombaomba ni sehemu ya matatizo ya akili, kwa taarifa yako, huku Tanzania hawaruhusiwi kukaa mijini huwa wanafukuzwa ndiyo sababu wanakimbilia huko, hata katika nchi zilizoendelea utakuta kuna ombaomba, lakini hakuna nchi yoyote makini inayopokea msaada wa chakula, katika dunia nzima ni Kenya, Yemen, South Sudan, Somalia, na sometimes Ethiopia, shame on You.
 
Unajiskia ulivyo empty kichwani...utakuaje na higher standard of living na huna tatizo la unemployment ilhali maelfu ya watanzania wanakimbilia Kenya kuomba omba. Nilishangaa hadi kule wajir utawapata???ingekua vice versa wakenya kuja kuomba omba Tanzania
weka hisia na mahaba pembeni.

mtu anaweza lipia pass aje kuomba kweli???
 
what about an ldc song?...don't you think it's an outdated boring song?.

But it's you people always writing a new chorus to the old song instead of bringing a new song altogether! The chorus is the heart of any song! 😀😀😀
 
Unajiskia ulivyo empty kichwani...utakuaje na higher standard of living na huna tatizo la unemployment ilhali maelfu ya watanzania wanakimbilia Kenya kuomba omba. Nilishangaa hadi kule wajir utawapata???ingekua vice versa wakenya kuja kuomba omba Tanzania
Unajua hapa msa kumejaa walalas.....nikiwauliza bona waliamua kuishi Kenya....wanadai eti ni kwasababu yah pesa
 
Kichaa wewe, hao wanaokuja huko umeambiwe ni disabled na watoto. Sisi hatuombi wala kusaidiwa chakula kama ninyi, wala hatuishi katika slums na hatuna tatizo la employment, our standard of living is far higher than yours.
Kwa hivyo hao disabled na watoto sio watanzania? Acha kupinga kila kitu wewe, hata kitu iliyo wazi. Hao beggars ni watanzania na wanapatikana Karibu miji mikubwa yote kenya
 
Back
Top Bottom