Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

weka hisia na mahaba pembeni.

mtu anaweza lipia pass aje kuomba kweli???
Wewe uko na kichaa cha mbwa. Mtu hana mbele wala nyuma atawezaje kuafford kulipia passport wakati hata pesa ya kujikimu ndio shida inabidi afanye kazi ya omba omba? Common sense is not common to some people. Na muwache hii tabia ya kukana watanzania wenzenu. Ni wanadamu kama tu mimi na wewe licha ya hali yao ya umasikini. Hii tabia yenu ni mbaya sana
 
fb430ec6e4b6c3752858f2bc98a5a95f.jpg
by pass Nairobi
 
Hakuna masikini anayeweza kupata chakula cha kutosha, mwenye makazi na malazi, mwenye kupata maji safi na salama, ukosefu wa hayo matatu ndiyo tunaita umasikini, Kenya yote hayo ni shida kubwa.

Kuhusu ardhi, hata ninyi mnayo ardhi ya kutosha kama mngeigawanya kwa haki, vipi mnaongoza ktk kuzalisha chai na maua, kwanini msizalisha chakula?, sera zenu mbovu za uchumi wa kibepari ndizo zinaxowafanya muione ardhi kubwa Tanzania.
Hii taarifa umeitoa wapi? ni wapi imeandikwa kwamba wakenya hawapata maji safi ya kunywa ikilinganishwa na watanzania? Wapi imeandikwa kwamba wakenya hawana makazi na malazi bora Ikilinganisha na watanzania? Ndugu, acha kutumia hisia unapotoa hoja. Hapa tunatimia facts backed up by evidence. I can prove to you that in all those sectors you've mentioned kenya is way ahead of tanzania. I want you to bring evidence to support your claims
 
Tatizo wanafananisha slum )nyumbani za mabati Tupu yaliyochoka) na (nyumba za block ambazo zinaitaji repair maintenance ya kawaida )
Ajabu ni kwmba hizo nyumba za block unasifia hapa zimetapakaa kila mahali dar. Nairobi may be having slums just like Dar lakini ukitoka nje ya hizo slums za nairobi? utakuta mitaa ambazo zimejengwa na kupangwa vizuri, kitu ambayo haipo pale Dar. Mitaa na nyumba za Dar hazina mpangilio ambayo jiji linafaa liwe nalo
 
University of Nairobi ranked the 7th best university in Africa. Now you know why danganyikans cross over to learn in Kenya
UoN ranked among top varsities in Africa
Kenya this Kenya that lol give us break,Izo rank hupanda na kushuka kila mwaka ,vyuo bora kabisa ni vile ambavyo huwepo mara nyingi top 10 kila mwaka vingi vyao cha SA ,Nyie tunabadilishana sana vijiti hakuna maajabu
 
Kenya this Kenya that lol give us break,Izo rank hupanda na kushuka kila mwaka ,vyuo bora kabisa ni vile ambavyo huwepo mara nyingi top 10 kila mwaka vingi vyao cha SA ,Nyie tunabadilishana sana vijiti hakuna maajabu
Asira na chuki hahaha
Tell me the last time university of dar es salaam ever made it in the top ten. I doubt hata kama imewahi fika top 15
 
Hapavutii
Leta yenu yenye inamvuto...Ldc nyie mnajenga your first flyover 50 years since independence hauna hata haya ukidharau ya wengine wakati wewe hauna hata robo ya unachodharau
 
Back
Top Bottom