Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
"flying over" ndio mnyama yupi pale dar es salaam zoo?![]()
Hawa wajamaa Bwana sasa nini maana yakua na flying over congestion hii yote du
"flying over" ndio mnyama yupi pale dar es salaam zoo?![]()
Hawa wajamaa Bwana sasa nini maana yakua na flying over congestion hii yote du
Unatangulia kujenga vihoja kwann nisicheke budaLeta yenu yenye inamvuto...Ldc nyie mnajenga your first flyover 50 years since independence hauna hata haya ukidharau ya wengine wakati wewe hauna hata robo ya unachodharau
Kinachoshangaza na kustaajabisha, 54 yrs after indepence bado taifa halijaweza kuzalisha chakula chake, wala kusambaza maji katika capital city.Leta yenu yenye inamvuto...Ldc nyie mnajenga your first flyover 50 years since independence hauna hata haya ukidharau ya wengine wakati wewe hauna hata robo ya unachodharau
A secondary school pupil in Kenya has superior knowledge and understanding than a PhD holder in Tanzania.Umemaliza kusoma lini buda? Usikute naongea na sec school pupil
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Tumewaruhusu fukuzeni wote kama kweli ni watz icje kuwa ni wakibera wezunu mnasema watzWewe uko na kichaa cha mbwa. Mtu hana mbele wala nyuma atawezaje kuafford kulipia passport wakati hata pesa ya kujikimu ndio shida inabidi afanye kazi ya omba omba? Common sense is not common to some people. Na muwache hii tabia ya kukana watanzania wenzenu. Ni wanadamu kama tu mimi na wewe licha ya hali yao ya umasikini. Hii tabia yenu ni mbaya sana
ona ulivyo mpumbavu.hujui hata unachoandika kinazidi kukuacha uchi.Wewe uko na kichaa cha mbwa. Mtu hana mbele wala nyuma atawezaje kuafford kulipia passport wakati hata pesa ya kujikimu ndio shida inabidi afanye kazi ya omba omba? Common sense is not common to some people. Na muwache hii tabia ya kukana watanzania wenzenu. Ni wanadamu kama tu mimi na wewe licha ya hali yao ya umasikini. Hii tabia yenu ni mbaya sana
A secondary school pupil in Kenya has superior knowledge and understanding than a PhD holder in Tanzania.
Mexicans flood into the wealthier United States while Tanzanians flood into Wealthier Kenya.hata katika nchi zilizoendelea kama Marekani na Kenya utakuta kuna ombaomba.
Wewe mnyamwezi usinitajie mambo ya elimu coz kenya and tanzania are not on the same level on matters education. Hamngejazana katika shule zetu kama hiyo elimu yenu ni bora. Tuongee mambo mengine, sio ya elimu.sasa wewe umefika ngazi gani ya elimu ya huko kenya maana u mweupe kinchwani!!!!hata hiyo class two hujafika.
embu soma hata hii sentensi yako,ujishangae.
Ngoja ile siku nikibisha kwa mlango yako kukuomba chakula ndio unitajie mambo ya chakula. Wewe naweza kukulisha pamoja na jamii yako nzimaKinachoshangaza na kustaajabisha, 54 yrs after indepence bado taifa halijaweza kuzalisha chakula chake, wala kusambaza maji katika capital city.
Tunataka kwanza mkubali kwamba ni watanzania wenzenu ndo tuwafukuze.Tumewaruhusu fukuzeni wote kama kweli ni watz icje kuwa ni wakibera wezunu mnasema watz
Kawaida yenu hamkosangi vijisababu. Typical bongolalaSmart person always spends more time on planning phase and less time in implementation, stupid person rushes in implementation part, as the result he ends up with low quality, expensive and unfinished projects.
Hahaha....joke of the century. Ligi yenu ni Mombasa kuleeeeendeleeni kupanga nyumba kwa mistari kama itafaa kupigia picha mtaitumia.
ila kuitaja taja dar kwa eneo lolote kenya ni kujipa stress.dar now haikai ligi moja na mji wowote EA.
Nasikia Mbeya ni city according to Tanzanian standardsThe below pcs are from MBEYA,about 850km from Dar,inamatch na Eldoret or Nakuru
Point on...kule bongolala anything is called a city provided kuna jengo lina five floors, hata kama ni jengo mojaAm I on the wrong thread here? Dar vs Nbi was supposed to be trending until you people started bringing in Shinyanga, Rufiji, etc. Now when Eldoret is squeezed in you go gaga!
Deal with it,Eldoret is not even a city but well planned than your glorified slum city of Dar
Your government sent a delegation on a study tour of Thika Road in 2014 and we didn't even mention it anywhere. Sisi tunatuma delegation and the whole must know about it!hongera kwa kutangulia....hata sisi kuna vitu tumewatangulia
moja wapo ya kitu tulichowatangulia ni bus rapid transit(BRT).nakumbuka late last year mlituma watu "wenyu" waje dar kujifunza kuhusu BRT yetu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Zimeonyeshwa hapa tangu mwanzo. Sio moja au mbili tena bora zaidi kuliko hiyoLeta flyover yenu inaoikaribia hyo