Hili nalo ni 18 flr
Wakenya acheni kutudanganya nyie
Mbona unahamisha magoli wewe. Tunaenda jengo kwa jengo tuone majengo yenu marefu. Usihamishe tutakuja na huko subiri kwanza. Leta jengo unajibiwa.
😀😀😀😀😀😀😀 hakuna kuchakachua hapa
Hapa ni Baghdad ama Kabul? kuuliza tu..., inafanana miji ya kiarabu, kwa waislamu.
Nakuomba bas jifanye ata unaakili kidogo bas
Antena leo inaweza ikawekwa au ikatolewa kesho kulingana nankuamua kwa mwenye jengo
Ila no of floors kubadilisha ni insue kwan lazima construction ifanyike upya
Sasa kwa akili yako ipi ni bora kutumiwa kuonesha urefu wa jengo
![]()
Uambiwe mara ngapi kuwa delta corner tower ni 18flr
Naona mmekimbia kwasabab majengo yenu abov20 yameisha
unasema mmetushinda bila proof? si mchuano umeshindwa?Tumewazidi my sister
Mengi yameisha soon na bado mengine yako mbion kumalizia
Sasahv tushawashinda atleast kwenye majengo
But soon tutawashinda na barabara pia na apo ndo mtaona dar chungu
This building is 100m tall dude. way taller than the ugly Umoja wa Vijana tower that you posted and also one of the most beautiful on the continent.









ko watani mmegoma kutoa kisa ni zuri, aiseeeeMnatudai?????????hili pampano tutaliendeleza mida ya baadae....saa ii tunachapa deal bana.bado majengo yako na ni dar tunawadai
Acha ubishi wa kijinga mi nishakuonesha kabisa kuwa its18Delta Towers ni 21 floors bro.
Tutaendeleaje uku wameishiwa
Pamoja na kuleta majengo under20 bado tumewapiga
Tunawadai majengo manne ya above20 ambayo wameishiwa
Wakitama majengo under construction waje pia
Acha longolongo weweeInitial design was 18 floors, final product is 21 floors. Acha siasa
Kurudia tena ni ujingaMchuano ulikua kati yangu na wewe before some Tz kids caused a confusion (Ati jengo moja wanataka tupost mara sita). Tumefika majengo sita, nangoja lako la Saba. Urefu tumewachapa 10 nil mkaanza kulia ati ooh spire ooh antenna(yet only Britam has a spire) mkasema tuhesabu floors. Haya basi post zenu. So far we have more towers over 100m. Wacha tuone kama mtatushinda over 20 floors.
Nawadai majengo manneMchuano ulikua kati yangu na wewe before some Tz kids caused a confusion (Ati jengo moja wanataka tupost mara sita). Tumefika majengo sita, nangoja lako la Saba. Urefu tumewachapa 10 nil mkaanza kulia ati ooh spire ooh antenna(yet only Britam has a spire) mkasema tuhesabu floors. Haya basi post zenu. So far we have more towers over 100m. Wacha tuone kama mtatushinda over 20 floors.
Moja wenu aandike "tallest buildings in africa" af aishare uku
Maana naona Dar ina majengo8 uku kenya inayo ma4
Af kushare link uku nashindwa
Sababu za kizamani
Kama ni uzuri ata sisi tunamazuri ila hatujapost mana hayajafika20
ko watani mmegoma kutoa kisa ni zuri, aiseeee
Acha longolongo wewee
Sidanganyiki kizembe
Mbona siioni hapo Nairobi?Wewe utakua una kichaa.....link ndio hio Britam number 2 in Africa. Alafu uniambie kama ni floors wanaangalia ama metres.
List of tallest buildings in Africa - Wikipedia