Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie si vijanja vijanja2
Pamoja na kuwa wanahesab number of meters ambao nyie mnaongeza minara lkn bado tumewapiga bao
Sisi tuna majengo8 kwenye hiyo rist nyie mna ma4

Haipo hapo hebu check vizuri
 
Hii sio kitu kimaendeleo hizi ni mbwembwe tu
Ko ukiangalia hii Rwanda ni best in africa
And even better than China
Nenda kapumzike mzee utakuwa ushachanganyikiwa na kupigwa bao na Dsm
Nishasema ruksa kujumuisha na majengo ya mombasa humu
Maana mombasa majengo ni kama matatu tu na hamna lililofika 20flr
na kisumu pia ruksa
 
Wao wahangaikage na miji kama mwanza na mbeya huko lakini kwa dar wasihangaike kabisaa afrika mashariki wao wanatumiji tuwili tu nairobi na mombasa labda na NYELI lakini kelele kubwa kama nini.
mombasa hakuna kitu wewe utumbo wa bata tu
 
Mbona unahamisha magoli wewe. Tunaenda jengo kwa jengo tuone majengo yenu marefu. Usihamishe tutakuja na huko subiri kwanza. Leta jengo unajibiwa.

Huo ni wendawazimu na uzumbukuku ambao ziwezi fanya mimi!! Ndio nini ifanyike sasa jengo kwa jengo?? Jengo utalinganisha aje na jingine??? Hiyo ni kukosa akili
 
This building is 100m tall dude. way taller than the ugly Umoja wa Vijana tower that you posted and also one of the most beautiful on the continent.
hhahahahaha umoja wa vijana umewatoa povu😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Juu umelilia sana number of floors wacha nikupe number of floors. Over 20 pekee.

So far
1. Britam (200m) v TPA (157m) - Nairobi wins.
2. UAP (163m) v PSPF 1(153m) - Nairobi wins
3. Times Tower (140m) v PSPF 2 (153m) - Dar wins.
4. Le'Mac (125m) v Rita (115) - Nairobi wins.
5. Teleposta (120m) v Millennium (103m) - Nairobi wins
6. KICC (105m) v Uhuru Heights (103m)
7. NSSF (103m) v Umoja wa Vijana (102m) - Nairobi wins.

8. Umoja wa Vijana B 25 floors v NSSF South Tower 28 floors.

Happy now KweliKwanza ? now post building number 9 twende kazi
 
Wewe utakua una kichaa.....link ndio hio Britam number 2 in Africa. Alafu uniambie kama ni floors wanaangalia ama metres.

List of tallest buildings in Africa - Wikipedia
Af juu ukibadilisha mnara jengo nalo linabadrika urefu
Sio lazima iwe initiallly lilipokuwa linajengwa
Maana ata wamerakan walibadili mnala wa empire state likaongezeka urefu wa mitres
Most sites zinaclearlyfy, kuna ranking za urefu bila antenae na kuna with antenae
 
Mchuano ulikua kati yangu na wewe before some Tz kids caused a confusion (Ati jengo moja wanataka tupost mara sita). Tumefika majengo sita, nangoja lako la Saba. Urefu tumewachapa 10 nil mkaanza kulia ati ooh spire ooh antenna(yet only Britam has a spire) mkasema tuhesabu floors. Haya basi post zenu. So far we have more towers over 100m. Wacha tuone kama mtatushinda over 20 floors.
pigwa baooooooooooooo sasa tumewarusu muingize mombasa na kisumu humu ndani ruksa hio
 
Wewe utakua una kichaa.....link ndio hio Britam number 2 in Africa. Alafu uniambie kama ni floors wanaangalia ama metres.

List of tallest buildings in Africa - Wikipedia
Umeona apo
Hayo ni kwa urefu wa structural figure without antenae
Ila nyie mmengangana2 na viantenae
Sema kwa africa kwasabab hawaco focused sana na africa ndo maana wanaconsider2 na antenae
Ndo maana apo ONE WORLD TRADE CENTRE halipo
92ce399ca617c1b9c39f3ed68edae047.jpg
79b59a441a5b026705eb33746997f4d5.jpg
 
Af juu ukibadilisha mnara jengo nalo linabadrika urefu
Sio lazima iwe initiallly lilipokuwa linajengwa
Maana ata wamerakan walibadili mnala wa empire state likaongezeka urefu wa mitres
Most sites zinaclearlyfy, kuna ranking za urefu bila antenae na kuna with antenae

Pia number of floors ukibadilisha jengo litabadilika. Isn't that obvious?
 
Huo ni wendawazimu na uzumbukuku ambao ziwezi fanya mimi!! Ndio nini ifanyike sasa jengo kwa jengo?? Jengo utalinganisha aje na jingine??? Hiyo ni kukosa akili
dalili ya povu hioooooo😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Umeona apo
Hayo ni kwa urefu wa structural figure without antenae
Ila nyie mmengangana2 na viantenae
Sema kwa africa kwasabab hawaco focused sana na africa ndo maana wanaconsider2 na antenae
92ce399ca617c1b9c39f3ed68edae047.jpg
79b59a441a5b026705eb33746997f4d5.jpg

Kama ni Structural figure mbona Britam ni number 2 in Africa? Mbona Taipei 101 ni refu kuliko Sears? Acha siasa. Dalili za kushindwa hizo.
 
jibuni majengo manne ya over 20 floors tuendelee na kazi mara moja hatuna muda wa kuzungumza sana
 
Back
Top Bottom