ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hahahaha povu linakutoka aisee hahahahhaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀gani iko above 20 apa.....izo zote ni 18 kushuka.unadanganya umma kijana.dar imeishiwa
hahahaha povu linakutoka aisee hahahahhaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀gani iko above 20 apa.....izo zote ni 18 kushuka.unadanganya umma kijana.dar imeishiwa
Ok nairobiwalker toeni ichi kidude tuendelee na above 20![]()
hili ndio umepewa mwisho mkuu...ilikua bado wewe but nairobiwalker kaenda kujipumzisha.kesho mungu akipenda
😀😀😀😀😀😀😀 kazi wanayoOk nairobiwalker toeni ichi kidude tuendelee na above 20
alaf bado under construction za above 20 na below 20 hapo ndipo patamu sana alaf sasa below 20 kuna kariakoo,ilala,upanga,kurasini,magomeni,kinondoni,ubungo, etcAsee waoneeni huruma hawa Wakenya. Mkimaliza za Posta above 20fl sidhani kama mtayamaliza below 20fl yaliyopo Kkoo. Labda wacombine Kisumu, Nakuru na Mombasa.
Hahahahahahaha muangalie huyuuUfala ni kupima building na floors than metres na mnajiita world class city, sijui mlienda shule Wapi.
Iyo I&M building Iko na floors 18 but each floor ni 4metres. bt tpa ni 35floors but each floor ni 3metres.
Hope unaelewa iyo hesabu ya class 3








Hili nalo ni 18 flrDELTA CORNER TOWER A AND DELTA CORNER TOWER B
21 flors/ 75m both
![]()
Hizi ni mbili
we ndio uliejenga leta statistics kama unazo munatuekea minara alaf unatuambia urefu tunataka uhalisia hapa hakuna ujanja humutpa 40 but each 3metres.
hahahaha na sio hio pekeake tu yapo na mengine hapo wamepost below 20😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hili nalo ni 18 flr
Wakenya acheni kutudanganya nyie
hahahaha anaji race mwenyewe tu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Ufala ni kupima building na floors than metres na mnajiita world class city, sijui mlienda shule Wapi.
Iyo I&M building Iko na floors 18 but each floor ni 4metres. bt tpa ni 35floors but each floor ni 3metres.
Hope unaelewa iyo hesabu ya class 3
Hili ni 18 flrs naloDELTA CORNER TOWER A AND DELTA CORNER TOWER B
21 flors/ 75m both
![]()
Hizi ni mbili
We sema2 ukweli kuwa juu kuna antenaUfala ni kupima building na floors than metres na mnajiita world class city, sijui mlienda shule Wapi.
Iyo I&M building Iko na floors 18 but each floor ni 4metres. bt tpa ni 35floors but each floor ni 3metres.
Hope unaelewa iyo hesabu ya class 3
tunatoa majengo mawili tunawadai 4 buildings of above 20 floors 😀😀😀😀😀😀😀😀😀 kazi ipo wanataka kuchakachuaHili ni 18 flrs nalo
😀😀😀😀😀 nshakupa ukweli tayarimnabishana as if hamna any education.
Floors nI nothing kwa building comparison.
Msiaibishe Africa tafadhali