Kama umekata tamaa uku hatutoi ushauri wa watu kama ninyi,Wewe ndio huna akili usijifanye unatusemeaHapana mkuu mimi ni mswahili wa Dar,kubali hilo
Uongo ni dhambi kwangu,....Ukweli Tanzania kama nchi hatuna ndoto, na asie na ndoto hana maendeleo😵
8500-5700=2800 unataka kusema Uganda na Rwanda hawafikii millionare 2800?Millionaires in Nairobi are many compared to Tanzania Uganda and Rwanda combined
Don't mind them bro...We are their big brothers so they must l watch every move we make to learn from us. Just the samevway we also watch BBC and CNN to learn from the British and Americans respectively. Do you remember how they were glued to their TV sets watching supreme court proceedings in August last year? they even posted screen shots of the same here with kadoda leading followed by ichoboy. To be honest I don't know any Tanzanian news channel lakini wao wanajua zetu zoteIchboy every second uko kwa page ya citizen TV au ntv it's nice to know vile mnafuatilia news za Kenya....unfortunately hatujui zenyu
Is that Dar or Kabul?
Mbona mnapenda sana kukana picha za Dar zinazoonyesha uhalisi ya mambo. Mnawekanga za kibera humu ndani wala hatujawahi kuyakana. Vipi nyie wabongo?hzo picha ni wapi????? hebu nieleze maana hua munapost sasa je ni wapi????😀😀😀😀😀
I guess I am not the only one that not informed about the development plan of Tanzania,There is millions of Tanzania don't real know what is going on this country,that shame isn't,we need Transparency!!!
Why secret Mkuu kwasabu hamna chochote kinachofanyika kila kitu ni ahadi hewa....,next time jibu kwa kiswahili ili wasahili tupate kukufahamu,.....Comprende
Kwani hizo ni za Tanzania? wewe nitajie kampuni hata moja tu ya Tanzania inayofanya biashara kenya. Pengine utaniambia diamond karangaatakwambia sports pesa na equity Bank amemaliza
Sasa hiyo picha hata angeileta horizontal view ingeonyesha flyovers na magorofa gani wakati mimi ninachoona hapo ni vibanda? ama unataka miujiza ifanyike hizo vibanda vibadilike view magorofa na flyovers? hebu ni jibuMbona hizo picha za flyovers na hayo magorofa unaleta horizontal photos, ila hizi unaleta aerial far above, unaficha nini, hizo picho ukiondoa hiyo moja, zingine zote sio Tanzania, unajaribu kutumia kila njia kujitoa katika aibu ya slums za Nairobi
Kwani ni nini anaficha kwa ile picha aliyoleta? Tuko na macho na tunaona kwamba japo picha ilipigwa kwa mbali lakini hizo ni vibanda.Hapa unaleta horinzal views, very close ili tuone details, ila utapotaka kuonyesha kama Tanzania kuna slums unatuletea aerial view iliyopigwa kwa juu sana ili kuficha ukweli kwasababu unajua hakuna slums Tanzania[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe zidi kuumia. hiyo picha inaonyesha how the rest of Nairobi looks outside slum areas. Kwa ufupi, hivyo ndivyo Nairobi inavyokaa. Sio zile swahili villages za DarNyumba zipigwe rangi na cement plasta , au hakuna Rangi Kenya
Hizo "dream houses" tumeziona hapa mda mrefu sana zikiwa kwenye zile picha mnazokana kwamba sio za Dar. Continue building your "dream houses" bongolalasTanzania watu wanajenga wenyewe nyumba za ndoto zao , unatafuta ramani nzuri unayopenda mwenyewe unajenga house of your dream
Nairobi ni watu wachache wanawajengea maskini wakapange waishi kwenye nyumba zinafanana ambazo ni dormitories
Kumbuka any house that you share same build more than one family that is dormitory.
Nairobi mwanaume mzima na familia yake ame rent nyumba kwa landlord I can see the humiliation mnapitia
Mwanaume wa Nairobi anapigwa na mwanamke maana mostly hawana mawazo ya kujenga wanawaza kuama kutoka dormitory moja kwenda dormitory nyingine akiwa kafanikiwa kutoka kibera
Ndio kama miradi ni ya kuwaletea maendeleo wananchi lazima wananchi wazujuzwe...Kwahiyo serikali ikitaka kujenga kila kitu inabidi iweke matangazo kila kata.?
Poa mkuu,hayo yanajulikana,na ndio maana nchi na mji yetu haiendelei...mimi simsemi mtu isipokuwa nachangia maoni yangu,si lazima uyakubali...Kama umekata tamaa uku hatutoi ushauri wa watu kama ninyi,Wewe ndio huna akili usijifanye unatusemea
Naona mnakula ngano ya bakressa ilolimwa na watznilipitia kwa mama Halima kidogo....
Sisi hatuna ndoto tuna vision. Hii inaonyesha kweli wew mkikuyu wa kibera. Unawaza ndoto tu.Hapana mkuu mimi ni mswahili wa Dar,kubali hilo
Uongo ni dhambi kwangu,....Ukweli Tanzania kama nchi hatuna ndoto, na asie na ndoto hana maendeleo😵
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kwahiyo serikali ikitaka kujenga kila kitu inabidi iweke matangazo kila kata.?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Naona mnakula ngano ya bakressa ilolimwa na watz