Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wapi nimesema wanaunda engine na gearbox shida yako unanijibu kwa kupanic,hata hebu niambie wale faw ni wapi wanachonga zile pannel za body au wana design zaidi zinakuja hapa vipande wanafanya kuonganisha tu, wale wenzetu wana anza from scratch ku design body inaundwa body ya bus pale pale alaf ndio vinafuata vitu vya ku assemble

sio dhambi kuwapa maua yao hata kam japo inauma kuona kwetu tumeshindwa ku maintain jambo kama hilo
Nimekuuliza sijasema umesema wanaunda. ? Hii alsma ina maana. Siwezi kupanic kisa umeamua tu kuwa negative. Nakwambia tu hao wana assemble kama wengine tu NOTHING SPECIAL,hiki ndio nasisitiza tangu mwanzo. Hakuna maajabu.
 
Hii hapa ya Zuchu kaipokea jana Bentley Flying Spur, wasanii wa kenya vipi?
1793769481447.png




View: https://www.instagram.com/p/DfSgQu3xNfO/
 
Back
Top Bottom