Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbwa akishakuwa kichaa, Dawa yake ni kumpiga shaba tu. Huyo huwezi mbadili tena wala kumpa elimu ameshakuwa msaliti.
😂😂😂😂😂😂😂 REAL Comrade Kipepe yani ukikosoa na kuongea ukweli unakua msaliti hii ndio kasumba inayotutafuna sisi, na siku zote mtu anaekukosoa mpende kwasaababu anakwambia jambo ambalo huenda litakupeleka kwenye straight path ndio maana wenzetu wamefanikiwa sana hawana akili za kimaskini na kasumba kama hizi
 
Kwamba na wewe unakosoa? 😂😂😂
 
Wapi shida hapo? Kenyans wako na right ku question and critic what the government is doing.. can’t say the same for you guys.
wanahisi kukosolewa ni kama dhambi ya kuua hivi, yani ni kasumba na fikra za kimaskini sana, anahisi hao waliendelea hawakukosoana na kuambiana ukweli

moja ya ajira kwa sasa tanzania ni kua chawa
 
Sheria ya jeshi. Hakuna kujadiliana na wasaliti na magaidi
haya sikia sasa 😂😂😂😂 aisee maendeleo yatachelewa sana kwa akili kama hizi zilizojaa umaskini

nilidhani leo ungekua unahoji jambo kama hili ambalo limekaliwa kimya na hakuna any action taken so far

View: https://www.instagram.com/reel/DfO-2HZtM71/?mdxt=Yjl1dmp5eThjdmQ5

View: https://www.instagram.com/reel/DfRH5TVtmoo/?obrf=MW12YW1qaHdrbXlhbw==

View: https://www.instagram.com/reel/DfQ_YLeNY_7/?rpxt=MWQyeG9raGtsZXFpMQ==
 
So ukipotosha hutaki kurekebishwa na anayekurekebisha unamuita chawa?
mm nikipotosha na ukaniambia nimepotosha ntasema sawa ikiwa unaushahidi wa kweli ila ww ukikosolewa unataka nisifie uongo mm sifanyi kazi ya uchawa, mm nimetembea kenya na tanzania hakuna sehemu utanidanganya so i know the inside story bro, so ukiona jambo nimeongea njoo na ushahidi wenye uhakika sana
 
Mara ngapi umepotosha humu na kila ukirekebishwa tena kwa ushahidi unaendelea kubisha na kuita watu machawa?
 
Small town called migori

2B0BE5DA-FF4F-4B3A-B27C-34C591FA82B7.jpeg
 
😂😂😂😂😂😂😂 REAL Comrade Kipepe yani ukikosoa na kuongea ukweli unakua msaliti hii ndio kasumba inayotutafuna sisi, na siku zote mtu anaekukosoa mpende kwasaababu anakwambia jambo ambalo huenda litakupeleka kwenye straight path ndio maana wenzetu wamefanikiwa sana hawana akili za kimaskini na kasumba kama hizi
Unless kama hujui tofauti kati ya kukosoa, kuingelea na kuattack.
 
yani ww jamaa unashida sana nani kaongelea mig 21 nimekwambia chegdu F7 ni copy and paste ya mig 21 kwwnye kila kitu mpaka desingn etc na ndio tulizonazo sisi ambayo cost yake ni around 10m usd sasa nakwambia rafale moja ni over 150m € alaf unasema ethiopia wanajionesha vipi ww mzee unataka wasijioneshe ili iweje na ni kitu wamegiza na ni lazma watangaze kwa umma
You know nothing about military.
When ot comes to military history on the continent kwenye vyuoni ni Tanzanian pekee ndio case study.
Na ndio the only sub-imperial power on the continent.

Unazojua wewe ni hizo Chengdu tu!

Baadae nikija humu ntakudokeza mambo kuhusu jeshi letu.

All in all, kinacho zisukuma nchi nyingi za Africa kushow off, kiwanja kama Talanta, vimaendeleo kidogo na some few purchases ni insecurities.
 
Mwambie aende akamtembelee Lugumi ili ajue Who we are as Tanzania
 
You know nothing about military.
When ot comes to military history on the continent kwenye vyuoni ni Tanzanian pekee ndio case study.
Na ndio the only sub-imperial power on the continent.

Unazojua wewe ni hizo Chengdu tu!

Baadae nikija humu ntakudokeza mambo kuhusu jeshi letu.

All in all, kinacho zisukuma nchi nyingi za Africa kushow off, kiwanja kama Talanta, vimaendeleo kidogo na some few purchases ni insecurities.
bora ya ww unaejua but chegdu bado sana kwa rafale fighter jet bado tena bado sana interms of technology na kila kitu

sometimes tuache ushindani usokua na tija bro
 
Back
Top Bottom