Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TPDF - Modern Marmy

1793697944764.png


1793698153096.png
 
😂😂😂😂😂😂😂 REAL Comrade Kipepe yani ukikosoa na kuongea ukweli unakua msaliti hii ndio kasumba inayotutafuna sisi, na siku zote mtu anaekukosoa mpende kwasaababu anakwambia jambo ambalo huenda litakupeleka kwenye straight path ndio maana wenzetu wamefanikiwa sana hawana akili za kimaskini na kasumba kama hizi
Wanakushangaa mbona ghafla? Yaani umeibuka from nowhere unaanza kuponda mambo uliyokuwa unayasifia na kupambania. Complete u-turn.
 
Kwamba Wakenya sio wajinga, ni wao wali design air suspension za hio gari?
kitendo cha ku design body, ku assemble chasis na engine na kuweka kila kitu kwenye mifumo yake sio jambo la kubeza bro

wakat mwengine wape maua yao tu
 
kitendo cha ku design body, ku assemble chasis na engine na kuweka kila kitu kwenye mifumo yake sio jambo la kubeza bro

wakat mwengine wape maua yao tu
Hakuna anaebeza ila there is nothing special. Tabata pale kuna local fundis wanaweka hizo air suspension kwenye trucks.
Wanaongeza axle kwenye trucks. Mafundi tu wa kawaida
 
Wanakushangaa mbona ghafla? Yaani umeibuka from nowhere unaanza kuponda mambo uliyokuwa unayasifia na kupambania. Complete u-turn.
😂😂😂😂😂 mm kua chawa hio ndio kazi siwezi bro nikae kabisa nageuza uongo kua ukweli no way hio dhambi siifanyi kuna dhambi mtu unaeza ziepuka
 
Back
Top Bottom