Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,333
- 107,983
Katembelee kiwanda utaona.aseembling ni kitu kunakuja na manual yake ww unafuata kitabu chake ile wale wana design bro kabisa alaf sioni production ya hicho kiwanda naona howo zinaingi tu kutoka china vipi kimefkia wapi so far sikiskii kabisa au nduo nguvu za soda zimeisha 😂😂😂
Acha maneno yako wewe. Wanaunda engine? Wanaunda gearbox? Wanaunda axles? Hizo air suspension kiwanda gani kinatengeneza hapo Kenya? Kama hawaundi hivyo vitu basi wanaviunganisha tu kama assembly plant yoyote ile.aseembling ni kitu kunakuja na manual yake ww unafuata kitabu chake ile wale wana design bro kabisa alaf sioni production ya hicho kiwanda naona howo zinaingi tu kutoka china vipi kimefkia wapi so far sikiskii kabisa au nduo nguvu za soda zimeisha 😂😂😂