Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Talanta Stadium
1000458404.jpg
 
Kiungo wa timu ya taifa ya Tanzania 🇹🇿 ya wanawake, Winfrida Gerald (18) ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa wachezaji wanaowania tuzo ya mchezo bora wa kike chipukizi 2026.

Hii ni mara ya pili mfululizo kwa mchezaji huyo anayekipiga pale JKT Queens kuteuliwa kuwania tuzo hiyo ya mchezaji bora chipukizi wa mwaka.

Mwaka 2025 aliteuliwa kuwania tuzo hiyo lakini hakufanikiwa kuipata na mwaka huu ameteuliwa tena kuwania tuzo hiyo.

Baadhi ya wachezaji anaoshindania nao hiyo tuzo ni pamoja na Romaine Gandonou 🇧🇯, Maëva Nyadjou 🇨🇲, Rose Kadzere 🇲🇼, Kautar Azraf 🇲🇦, Oluwakemi Adegbuyi 🇳🇬 na wengineo.

Je, atafanikiwa kuibeba..? 🤔
FB_IMG_1793720328637.jpg
 
Back
Top Bottom