NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,393
- 17,974
Si wewe ndiye umesema tunapost 20 floors and above?Crystal tower 19 flrs![]()
Si wewe ndiye umesema tunapost 20 floors and above?Crystal tower 19 flrs![]()
Waambie bakora walioipata wote walisambaa hahhhhaha unafanya mchezo na bongo walibakia kujichanganya hawaaamini maana kila jengo linalokuja ni motoooo na hapo hatujamaliza ndio tulikua tunaanza na hatoki mtu humu ndani game linaendelea kaz ni kazsaadeque thanks for keeping them busy for me
Kwa jinsi walivyo wajinga,wanadhani hii ni dar ya 90s.Bakora wakati wamebakia kujinyea wamerudia majengo mawili ulikua ushayapost mwanzo ahhahahaha walikua wanajichanganya hii ndio bongo niliwaambia mm 2017 hahahahah
Nani alisema onesha nilikwambia hatujamaliza 20 watulie mm nilikua napost hizo kwasababu zilikua karibu ninazo so hio golden tulip 23 floors mumeekewa munajinyea jibuni sasa tuendeleeSi wewe ndiye umesema tunapost 20 floors and above?
Hahahahhahhaa jana tuliwawashia moto wote walisambaa hahaha wamebakia kurudia majengo ya uchumi na nssf za kwao hahahahahhahaha tukawaambia zimerudiwa wakakataa tukawaonesha link hao wakakimbia mdogo mdogo😀😀😀Kwa jinsi walivyo wajinga,wanadhani hii ni dar ya 90s.
binafsi nalifahamu jiji la nairobi na vitongoji vyake kwa mapana mno.
wakati kimuonekano majengo yetu mengi ni ya mtindo wa kisasa, yao mengi ni ya kizamani.
nafurahi mnavo wanyima usingizi.
Mkilala simunaamka tunakusubirirni kazi juu ya kaziSasa unataka watu wasilale jameni? Wengine wetu tunaamkia kazi. Haya basi, mimi hapa. Nipe jengo nikupe jibu
Tumeshawapa golden tulip 23 floors jibu hilo hujaliona auKweliKwanza njoo humu tuendelee. tulikua tumefika namba sita. Nipe la Saba nikupe jibu.
acha uongo nduguNi 18
gani iko above 20 apa.....izo zote ni 18 kushuka.unadanganya umma kijana.dar imeishiwaKwanza mmepost zaidi yetu maana nilianza pili kuna mtu alipost jengo la 18flr humu
Tatu tuna majengo kibao above20 ila picha sina na majina sijui
Tathmini hii picha apa
![]()
![]()
![]()
Kibaya ni kuwa dsm ni kubwa na kila siku inajengwa
Majengo ni mengi ila yanayofahamika ni machache ndo unakuta kwenye internet![]()
![]()
![]()
hakuna wenzako walikimbia jana humu hhahahahahahah😀😀😀😀😀😀😀Dar kuna 10 buildings with over 20+ floors.
Sioni Haja ya kubishana hapa.
ziliisha hujajibu bado umeekewa goldrn tulip 23 fl jibu sasa twende kazizikiisha izo za nai dar above 20,tunaenda msa mwanza above 20
twende kazi 23 fl golden tulip ushaekewa jibu tuendelee hahahaha😀😀😀😀😀😀😀gani iko above 20 apa.....izo zote ni 18 kushuka.unadanganya umma kijana.dar imeishiwa
unalazmisha 18 au hutaki😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 kaz kaz twendeacha uongo ndugu
😀😀😀😀😀😀😀😀 ashaelewa sasaHahaha. Nadhani inaenda unabadili. Mwanzoni ulisema matatu tu sasa hivi unasema kumi. Utaelewa tu.