saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,170
- 1,356
umepewa I&M.....Mmekimbia eeehh???
umepewa I&M.....Mmekimbia eeehh???
Ndo nn mkuuumepewa I&M.....
ni jengo I &M bank....hujaliona kwani?hilo la samawatiNdo nn mkuu






Where is TPA tower.
swali lipi hili la kipuuziWhere is TPA tower.
Wakenya mmekimbia na mkia katikati ya miguu![]()
Wakenya mmekimbia
Au ndo mnatafta jengo lingine under construction muweke
Angalia sasa mmeishiwa na majengo adi mnaleta jengo lenye floor 18![]()
hili ndio umepewa mwisho mkuu...ilikua bado wewe but nairobiwalker kaenda kujipumzisha.kesho mungu akipenda




Usituekee mnara juu ukasema NAyo floor hhhahahaha twende Nazi hatoki mtu humuHeight is measured in metres not floors. That's why Sears Tower is taller than the former WTC despite having less floors and Petronas Towers are taller than both Sears and WTC. Usijiandikie mtihani ukajisahihishia ndugu. Tufuate mkondo ulio rasmi. Weka height zako in metres tufananishe majengo.
apo upo sawa....kenya wanajitahidi sana kupiga mapicha pale kwenye kajiji kao ka nairobi .....kias cha kwamba kama hauijui nairobi utahisi ni bonge la jiji kumbe hamna kitu....Ujinga ni kusema tunarudia majengo wakati pembe zote a apo nai majengo ni yaleyale ....mnachefua mno, utaliona uap kila picha, kicc na britam, nawashangaa mnavyojisemesha uchuro wakati muda wote mnapost picha zilezile tangu zaman....hii thread ilishaisha siku nyingi sana. ...tofauti tu wanadar wengi wanalack picha za 1st class suburb even 2nd class .....
Naona no of floors inakuumiza sana kichwa hahhhhahaMbona hampendi kuweka height kwa picha zenu? Uhuru heights 103m
Magorofa si ndio hayo munakimbia ovyo hapa hahahhhahahhhHuwezi linganisha Nairobi na Dar.
Dar haijapangwa.
Dar Chafu.
Pili Nairobi ina Migorofa acha bwana.
Supermakets kubwa acha hivi vya kwetu Tz vibanda eti supermarket.
Angalia sasa mmeishiwa na majengo adi mnaleta jengo lenye floor 18
Mi nilisema nyie ni minara tu
Sasa mmekimbia
Na bado majengo kibao sijaweka
Inabidi muirespect dar
PSPF Golden jubelee 24 flrs![]()
![]()