babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,520
- 36,242
Duh hapana mkuu, kilichotokea October mwaka jana sio jambo zuri, nguvu iliyotumika ilikuwa kubwa sana.Acheni mambo ya upotoshaji nyie bhana, sisi tumeona kwa macho wala sio hadithi .. waliuliwa ilikua ni haki yao kuuwawa, msiitupie lawama serikali kwa matokeo ya matendo yenu maovu nyie. Achani uongo bhana.
Nimeshudia kwa macho vituo vya polisi vidogo vyote Dar vilichomwa, nilishuhudia vijana waliovaa sare za polisi wakijinadi mitaani kuua baadhi yao, nimeshuhudia mali za watu zikichomwa, mali nyingi sana za watu zilichomwa , nimeshudia miondombinu ya umma kuchomwa na miningine kuharibiwa vibaya sana, mlitaka serikali izuie watu wenye dhamira ya kuliangamiza taifa kwa maneno.?glad hawakufika kariakoo siku ile mana wangefika katikati ya mji sijui wangeharibu uchumi wa hili taifa kwa kiwango gani, Nyie vipi nyie vipi nyie.? Msitakueleza mambo kwa chuki zenu tu..
Mnahoji serikali kwa kuwajibika kulinda usalama wa nchi.?
Mbona msihoji walioanzisha mambo ya kuzuia uchaguzi.? Mbona msihoji walio organize kuchoma mali za umma na zile za watu binafsi kwa wivu na husda za kidini.? J
Je wakati mnaanza hiyo mijadala hatukuwaasa kuwa msifanye hivyo.? Watu wema hawakuwakataza kwamba hiyo njia mliyochagua ina matokeo mabaya.?
Msimbebeshe mtu lawama asizostahili, laumuni matendo yenu bhana. Nyie kila anaekua raisi kwenu haifai, ajabu huyo raisi akitoka mnakuja tena mnasema eti alikua mtu mwema.
Mbona nyie watu wanafiki sana wazee.? Acheni bhana mambo ya unaa,
Mimi huwa sipendi sana kutoa maoni kwenye kilichotokea.
Tupost maendeleo ya Tanzania hizo story tuache asee.