Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar kama Dar: Amazingly clean
1793126057350.png
 
bidhaa gani unapeleka mchele zaidi ya huo mchele ambao unakwenda south sudan, bidhaa gani inatoka tanzania from our industries inaenda kenya zaidi ya machungwa na sio juice ya machungwa from the factory? mm bahat nzuri nimetembea nchi zote kitu nimekuta kenya from our factory ni azam energy nothing else lakini leo nenda kwneye supermarket zetu kama sio 30% basi 25% bidhaa zinatoka kenya na hili haliitaji ushahidi

hzi ni baadhi tena nimepita supermarket haya niambie nn ww unapeleka kenya kutoka kiwandani? zaidi tunapeleka mchele kwenye magunia wao wana repackage made in kenya wanauza south sudan kwa bei kubwa

this is so painful hawa jamaani very smart kichwani wanajua kutumia fursa hata kama sio yao but they will force it

View attachment 3699884View attachment 3699885View attachment 3699886View attachment 3699887View attachment 3699888View attachment 3699889View attachment 3699890View attachment 3699891View attachment 3699892View attachment 3699893View attachment 3699894View attachment 3699895View attachment 3699896
Umeamua unawamaliza kwa facts. The reason wanakutusi is because they can't do facts.
 
Geuza Ulabwe, You think you know my business but keep chasing ghosts. Regardless of what I do I am still blessed to live in the greatest country humanity has ever created. I can wash dishes and still live better than you in your Tandale Uswazi hovel. Don’t loose your line spot to the pit latrine ..🤣🤣🤣
Babu jinga zee la doordash
 
Yani Kenya akifanya Kitu they also want to do it. 😂😂
It’s in their DNA . Mpaka wakalazimisha SGR yao iwe electric just for bragging rights. SGR ya kifafa 🤣🤣Sasa yetu itafika Kisumu na Malaba after long delay before Yao ifike Mwanza despite non stop construction.. Hawana pesa …🤣🤣🤣
 
Ulimuambia nani kuna hayo mazuri? 😂😂😂
Ukiwa mkosoaji hakikisha unakuja na facts na sio hizi hisia zako.
Nimekuuliza swali la msingi, mkunya kusifia nchi yake ni sawa ila Mtanzania kusifia nchi yake ni uchawa? Hujajibu.

Huku tunapost maendeleo ya Tanzania hakuna mtu anapost viongozi, nenda jukwaa kwa siasa maana kule ndo wanafungua nyuzi za siasa.
mm sio mkenya siwez ongelea kuhusu wakenya kila mmoja anaakili yake na hulka zake ila kwangu white itabakia white na black itabakia hvo hvo
 
Back
Top Bottom