Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa nyangau hizi buses ndio wanataka tununue kwao kweli kutengeneza roof tu ni shida halafu buses hazina hata AC nani atapanda humo? Kazi ya Master hiyo 👇
1760512351845.png
 
Sisi tunajaza uwanjaa sisi tunajaza uwanjaaa, ukweli umebainika sasa kwamba walikuwa wanavunja mageti kuingia bure ili kushindana na Tz eti waonekane wanapenda mpira kuliko watanzania. Wamekula kitombo heavy na uwanja hauna watu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

View: https://youtu.be/0Oo9nauKLZo?si=J7n7fbfg9XtYsOMh

Watchman tumia akili. Kenya was playing away, ama siku hizi Ivory Coast ni county 48 County in Kenya?
 
Hawana a dedicated RoRo berth hao containers, gari na steel zote zinashushwa sehemu moja. Most car carriers prefer Dar port due to an efficient dedicated port for roro hakuna kukaa foleni Dar

Kwa RoRo vessels Zina prefer kuwa na efficient RoRo terminals kwa ajili ya kurahisisha upakiaji na ushushaji wa magari. Ni gharama sana ku operate RORo vessels maana mara nyingi hazina mzigo wa kupakia...huwa Zina shusha tu. Kukiwa na bandari ambayo Haina special terminal ni loss kwao kupoteza muda.

Ndio maana kusafirisha gari kwa RoRo vessels ni ghali zaidi kuliko kulisafirisha likiwa ndani ya container.
 
ok well noted.
 
Back
Top Bottom