Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uzuri unajua kama uwanja bado unajengwa, sasa wewe tuliza kijambio hapo, mambo yaishe then nitakuita hapa ili uumie vizuri.
Structural part ya Arusha Stadium is complete. So hakuna penye mtakuwa na Skybox. What you have is a presidential lounge.
 
Hivi unajua Tangu nchi ipate uhuru ni kipindi ambacho TZ inatengenezwa sana.?
inatengenezwa nn ikiwa 2021 march deni la taifa lilikua 59 trillion leo 2026 deni la taifa liko over 110 trillion, haya tuambie hio nchi umejenga nn kiasi cha deni la taifa kuongezeka kwa over 51 trillion huku nchi inakusanya kodi, inauza madini mpaka reserve za madini BOT, nchi inakusanya fedha za watalii, haya wewe nielezee tumejenga nn zaidi ya awamu zilizopita
 
Hapo nilipo bold uko sahihi na japa huyu maza alipuyanga sana.
 
kinachotoka uganda ni crude oil ambayo inaetakiwa kua exported kwenda nchi za nje kwenye refineries, hakuna refineries itajengwa tanzania bro ile ilikua siasa danganya toto ya kupunguza hasira baada ya kukosa dili la dangote, na kama ingekua kujengwa refineries basi ingejengwa hoima uganda na sio vinginevyo, bro mark my words ni pigo kubwa sana tumelipata kama taifa hata kama ukweli ni mchungu but hio ndio reality
Ni kweli pigo ila ni bora kutokua nayo kuliko iwepo halafu kuwepo na mshirika atakayenufaika bila jasho,hivi ingekua burundi ndio ije kivile kama walivyokuja mungiki ww binafsi ungekubali?
 
Ukiangalia hawa mabinti wote ni weusi,
Tofauti inaanza kuonekana kwenye ngozi, na makuzi, Hardlife,
Unaona kabisa binti mmoja ana ngozi angavu, yenye Nuru, yenye afya, ikiashiria unafuu mkubwa wa maisha, ngozi iko well nourished, binti amepata optimal nutrition from her infancy to her adolescence.
Hii ya Kenya sasa. Binti amelishwa donkey milk during her infancy, then weaned with sima and githeri, the skin has gone through a lot already.
Maisha yetu ya ulimwengu wa tatu ni magumu hakika, yaani kuzaliwa tu Kenya tayari unapambana na handicap
By the way, Hii game imeishaje Kwani ? Apparently Kunya pamoja na kuwa na sura za kazi wanagawa sana utamu huko.
IMG_4445.jpeg

.
 
So Kenya ndio hakuna ardhi kubwa na bandari? You are reasoning like someone who has smocked bang already.
Maku kikubwa jengeni refinery yenu,EACOP hata mje kwa matako ule mradi amuingii,bila aibu mnatangaza refinery ya tanga ikiwa hamna mtakachotoa,jengeni huko lamu then mkawaulize wanigeria baada ya refinery ya dangote mafuta kwao yamekua cheap kwa kiasi gani before hiyo refinery
 
ingekuja tayar ni mafuta ready for use for export au whatever lakini usinambie uganda ye hataki investment ya refinery ambayo ni huge investment ya over may be 18b usd alaf kumbuka mafuta yanayochimbwa uganda mbia mkubwa ni TOTAL na CNOOC so unategemea mfaransa na mchina waache kupeleka crude oil kwao ili kuendelea kutengeza ajira makwao wakuletee wewe uliesinzia na kulala umebakia uchawa all the time? 😂😂😂
Bro kumbe mafuta ya total na CNOOC,ile refinery ya dangote tanga inayolalamikiwa tumekosa opportunity,ingesafisha crude oil ya kutoka wapi 😃😃,mimi yote but wakunya hawapo EACOP nimefurahi,awakua na cha kuoffer kwenye ile refinery,nawatakia kila la heri huko lamu 😃😃
 
ingekuja tayar ni mafuta ready for use for export au whatever lakini usinambie uganda ye hataki investment ya refinery ambayo ni huge investment ya over may be 18b usd alaf kumbuka mafuta yanayochimbwa uganda mbia mkubwa ni TOTAL na CNOOC so unategemea mfaransa na mchina waache kupeleka crude oil kwao ili kuendelea kutengeza ajira makwao wakuletee wewe uliesinzia na kulala umebakia uchawa all the time? 😂😂😂
Kwan EACOP imeanza lini na dangote kaanza pumba zake lini, alafu total na dangote nan anajua zaidi kuhusu bishara ya mafuta na nan anategeneza ela chafu zaidi ya mwenzake, tukianza apo nigeria tu serikali imerudi kuimport petrol na wana dangote mzawa 😂😂😂😂😂😂
 
Ukiangalia hawa mabinti wote ni weusi,
Tofauti inaanza kuonekana kwenye ngozi, na makuzi, Hardlife,
Unaona kabisa binti mmoja ana ngozi angavu, yenye Nuru, yenye afya, ikiashiria unafuu mkubwa wa maisha, ngozi iko well nourished, binti amepata optimal nutrition from her infancy to her adolescence.
Hii ya Kenya sasa. Binti amelishwa donkey milk during her infancy, then weaned with sima and githeri, the skin has gone through a lot already.
Maisha yetu ya ulimwengu wa tatu ni magumu hakika, yaani kuzaliwa tu Kenya tayari unapambana na handicap
By the way, Hii game imeishaje Kwani ? Apparently Kunya pamoja na kuwa na sura za kazi wanagawa sana utamu huko.
View attachment 3696598

.
ukizaliwa mathare tayar ushapigwa 4 nill 🤣 just imagine someone having football hopes in unranked league 🤣
 
Back
Top Bottom