Hio habari umetoa wapi? Tuma sourcebut most investors walishasema hawanunui why the extention sasa 🤣 even ethiopia and rwanda mpaka leo havent deposited even a cent
Mbna kuna video tushapost uku investors wakihoji where crude will come from, there was a video ilikua inauliza why rwanda and ethiopia havent made a transaction yet mpaka sasaHio habari umetoa wapi? Tuma source
Weka link ama source ya report ambayo inasema hivi. Wacha kukimbia na kuniambia I think because clearly you don’t think..Mbna kuna video tushapost uku investors wakihoji where crude will come from, there was a video ilikua inauliza why rwanda and ethiopia havent made a transaction yet mpaka sasa
i think some kenya guy replied akasema wakishindwa kununua we will buy all the 30%
Take your time scroll utafute hio video, watu washasema hawanunui hence adding the deadline 🤣🤣🤣🤣🤣Weka link ama source ya report ambayo inasema hivi. Wacha kukimbia na kuniambia I think because clearly you don’t think..
View attachment 3696179
Hauna, so shut up and stop posting your feelings here and presenting them as if they are trueTake your time scroll utafute hio video, watu washasema hawanunui hence adding the deadline 🤣🤣🤣🤣🤣
We did this in Tanzania 1972
hii ni cowshed sio stadium
mpo nyuma sana, hii sio stadium ni cowshed
Huwa unatupa updates za Kenya na unakosa kutujulisha yaliyowakumba pale Mbeya. Umetoka maadamano?🤣🤣mpo nyuma sana, hii sio stadium ni cowshed
We nae bwabwa kwel, yaani umekaa kabisa unaskiliza wanaharakati kwamba kuna maandamano 🤣🤣Huwa unatupa updates za Kenya na unakosa kutujulisha yaliyowakumba pale Mbeya. Umetoka maadamano?🤣🤣
View: https://x.com/mariastsehai/status/2113044232952823810?s=46
Kwahiyo ichoboy01 cku hz ameungana na wakenya? Duh waafrika kwa unafki hatujambo, yn hukubaliani na serikali ndo inafanya uponde nchi yako 😄😄😄😄😄
mwanaetu alifukuzwa vyeti feki itakua bado ana machunguNi kweli hata mm sikubalian na serikali ya wahuni iliyopo madarakani ila naipenda Nchi yangu Tanzania huniambii kitu serikali zitapita japo kwa maumivu sina nchi nyingine tofauti na Tanzania Tangu Mwl had Id amini mama zimepita ngapi ni swala la mda tu