Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

deal done 🥁

Kenge wa North hawawezi kuelewaa.... Vita ya wakubwa na battle ground ni hapo kunyaland...

Kwa mara nyingine Dangote analambishwa mchanga na watoto wa kihuni wanaojua uswahili haswaaa...

Sasa wapime market share na distribution network ya Oryx's aliyochukua Amsoms group... Na kplc ambayo amechukua Dangote.
 
Kwahiyo ichoboy01 cku hz ameungana na wakenya? Duh waafrika kwa unafki hatujambo, yn hukubaliani na serikali ndo inafanya uponde nchi yako 😄😄😄😄😄
ameungana nao alafu bado anatoa boko 🤣 🤣 juzi kaja apa anatuambia etu RAO ina foldable seats kote, tukamwambia leta picha akapotea ndo ivo anaonekana kila jumatano kwa mwezi 🤣
 
Kenge wa North hawawezi kuelewaa.... Vita ya wakubwa na battle ground ni hapo kunyaland...

Kwa mara nyingine Dangote analambishwa mchanga na watoto wa kihuni wanaojua uswahili haswaaa...

Sasa wapime market share na distribution network ya Oryx's aliyochukua Amsoms group... Na kplc ambayo amechukua Dangote.
tumeshashika media nzima, KPL, na gas na juzi abood kaingia
 
ameungana nao alafu bado anatoa boko 🤣 🤣 juzi kaja apa anatuambia etu RAO ina foldable seats kote, tukamwambia leta picha akapotea ndo ivo anaonekana kila jumatano kwa mwezi 🤣
mm nimetoa boko gani? mm ndio nilikwambia RAO in foldable seats au umechanganyikiwa ??? mm sio chawa mzee mm nakupa facts tu
 
Kwahiyo fabrication siku hizi ni assembling?

Aisee, nguvu ya kubishana na mtafuna mirungi sina.
fabricators wakimaliza kuunda body wanafanya na assembling ndio wana assemble engine, gearbox, diff, pamoja na electronic equipments kwa ujumla

kwenye mambo yanayohusu magari bro achana nayo ntakuaibisha na ukweli ndio huo jamaa wako mbali sana
 
Kwa mahaba haya, nadgmhani watakuwa washakufira
 
Ngoja akishafanya monopolization kwenye sekta ya mafuta ndio uwekezaji utakuwa mzuri. Akianza kupanga Bei ya mafuta na namna ya kusambaza ili kurejesha Hela yake bhas tusione kenge kuvuka boda kufata mafuta cheap.
The problem is that you are running on biased hopes and dreams and not what is actually happening.

You also seem to be either unaware about the company listing on the NSE, or uniformed about what it means to list on the NSE
cd06ffd5-7d3d-4dfd-833b-b4971acd2845.jpeg
 
The problem is that you are running on biased hopes and dreams and not what is actually happening.

You also seem to be either unaware about the company listing on the NSE, or uniformed about what it means to list on the NSEView attachment 3695712
but most investors walishasema hawanunui why the extention sasa 🤣 even ethiopia and rwanda mpaka leo havent deposited even a cent
 
Put this in the category of irrelevant things … The world knows Miss Universe and Miss world pageantly … hizo zingine ni mitumba …it’s like a Tanzanian winning Dar es slum Marathon … irrelevant 😜🤣🤣🤣
pain landed exactly where its supposed to land
 
Back
Top Bottom