Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Seriously do you have a job or do you depend on your parents or boyfriend for your daily upkeep coz you surely do possess plenty of time in your hands …Congratulations 🎩… ur officially a troll 👿…
expect to see me here for the longest labda niamue tu mwenyewe kupumzika 🤣 🤣
 
Vipi matokeo nairobi united yanasemaje?

Wamekosa uwanja kunyaland na kwenda kucheza nchi za watu huko.
na bado wakawekwa 🤣🤣, juzi nkamuuliza tuseme AFCON inaanza saahv una kiwanja chochote kilicho tayar 🤣
 
aliegoma ni yule president wao yeye kashikilia msimamo kwamba anataka iwe 2028, problem ni wengine wote uganda na tz wanataka michuano iendelee kama kawaida
Viwanja wa Arusha, Fumba na Dodoma vikikamilika na Viwanja viwili vya Uganda na Mkapa na Amaan vinatosha! Maana naskia vinahitajika 6!
 
Viwanja wa Arusha, Fumba na Dodoma vikikamilika na Viwanja viwili vya Uganda na Mkapa na Amaan vinatosha! Maana naskia vinahitajika 6!
yes CAF wanalazimisha cha dodoma kikamilike wakati tulikua tumeweka kwa ajili ya ligi tu
 
Back
Top Bottom