Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanajua sana ndio maana wanahangaika kufake statistics ili kumantain fake status kwamba wao ndio large economy EA, angalia namna ujenzi wa stadium 1 tu tena ni mkopo ulivyowaendesha halafu angalia Tanzania inajenga stadiums 3 different regions swiftly kama nothing is going on, huoni economic swings kama wao mara wakope IMF pesa za mishahara mara WB wawape warnings mara moody waseme wapo kwenye debts ceiling distress na hakuna cha maana walichonacho
Debt imesha touch ceiling ili kukopa inabidi unyanyue ceiling juu kwa kuongeza tarakimu kwenye GDP figures bila hivyo nchi ina collapse saa 4 asubuhi tuu
 
Una uchumi mkubwa shule zimechoka watoto wanakufa njaa nisawa na Moo, Bakhresa, au GSM watoto wao wafe kwa njaa ndiyo Kenya sasa
uchumi mkubwa kutoka wap?
1792065621159.png
 
Back
Top Bottom