Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumbani kwetu Tanga nayo haijaachwa nyuma.There are Some new apartments in my hometown, Imagine effect kidogo tu ya Bomba la mafuta n it’s not even operating yet, lakini uwekezaji tayari unakuja mbio kinoma, tukiongeza berths 4 za bandari na kujenga ile Refinery, tunavipiga gape miji kadhaa hapa Bongo, ijipange haswaa.
1. Rashid heights Renda👇🏾
IMG_9005.jpeg
IMG_9007.jpeg
2. Mkwakwani plaza Renda 👇🏾
IMG_0675.jpeg
IMG_0676.jpeg
Progress 👇🏾
IMG_0646.jpeg
3. Al khadeer center 👇🏾
IMG_0644.jpeg
IMG_0645.png
4. Madrasa apartments 👇🏾
IMG_0655.jpeg
IMG_0656.jpeg
5. Mahboob apartments 👇🏾
IMG_0654.jpeg
IMG_0653.jpeg
6.This at Raskazone 👇🏾
IMG_0648.jpeg
7. Harbor apartments 👇🏾
IMG_0650.jpeg
IMG_0649.jpeg
 
mwaiofhawaii au mwaisa sadima Dickson naona una comment wivu kwenye post yangu kuhusu Tanga, post na wewe zile affordable housing projects that you are doing in comparison. 😂😂😂 ukuaji wa uchumi wa kweli upo kwenye miji ya Tz kwasasa nyie wengine endeleeni kujichocha na affordable housing projects.
 
Mbona tuachane na hayo? Hutaki tuongelee mambo ya kufake data tena?😂😂🤣

View attachment 3690480View attachment 3690481View attachment 3690482View attachment 3690483
IMF and other dodgy institutions, such as rating agencies, are nothing but premium tools for discrediting countries whose policies do not revolve around the western imperialist orbit.

It is for this and many other genuine reasons, the African Union has established its own rating agency.


View: https://x.com/eNCA/status/2107800148848029750?s=20


View: https://x.com/ennyola0015/status/2095720631446741133?s=20
 
IMF and other dodgy institutions, such as rating agencies, are nothing but premium tools for discrediting countries whose policies do not revolve around the western imperialist orbit.

It is for this and many other genuine reasons, the African Union has established its own rating agency.


View: https://x.com/eNCA/status/2107800148848029750?s=20


View: https://x.com/ennyola0015/status/2095720631446741133?s=20

Nilitaka kuisema hii juzi kati, Drc Congo for instance ilikua haonekani popote likija suala la GDP hata ukichukua takwimu za miaka mitatu hadi minne iliyopita, soon baada ya yale maridhiano yao na Rwanda yaliyofanywa kule US ati leo wako na $123 billion gdp. 😂😂😂. Mwaka juzi 2024 walikua $60+ billion. Kwahiyo uchumi wao umekua hadi ume double with a single year. 😂😂😂. Kwa uzalishaji upi.? Au kwa miradi ipi.?
 
Nauliza swali unanijibu na swali....kwanza yetu itafika malaba kabla yenu kukamilika....lakini tangu enzi za marehemu...story ni SGR ,sgr,sgr...malizeni hii kitu mfikirieni mambo zengine..ama hela hakuna?
Haha itafikia malaba when ? SISI tayari Kuna contractor site pande zote, singida to tabora clearance na kifusi tayari kimeshajazwa tuta almost 17 percent of completion.
Haya mwenzetu tuambie percent of completion ya malaba - naivasha mpk sasa
 
Back
Top Bottom