stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,362
- 39,541
Haishi leo wala kesho, we are building the longest SGR in Africa, nyie yenu ilikwamia maporini, 10 years ago.Lakini hii SGR itaja ishaa lini?tangu enzi za marehemu...mama akamaliza muhula wake wa kwanza ..sai ya pili..story bado ni ile ile..
Mwanza itakua na uzuri wa kipekee sana ukanda huu.time for some TRAM kwenye cities zetu zote
Haitaisha.Lakini hii SGR itaja ishaa lini?tangu enzi za marehemu...mama akamaliza muhula wake wa kwanza ..sai ya pili..story bado ni ile ile..
dodoma master plan yake, hmmm hadi dar yenyewe naona kama ikiwa off sideMwanza itakua na uzuri wa kipekee sana ukanda huu.
Sure, Uganda kuwapita is inevitable, it's only a matter of time.They sensed Uganda wangewapita ikabidi wafanye rebase. I give them 2yrs maximum and Uganda will pass them😂
Uganda had already passed them in terms of GDP per capita.Sure, Uganda kuwapita is inevitable, it's only a matter of time.
How a Bachelor of “weather science “ degree candidate, Tandale university looks like ..🤣🤣🤣
sasa wewe unajua nn kuhusu GDP recho? mada ya DEBT to GDP unaikwepa kama hujawahi kuiskiaThey sensed Uganda wangewapita ikabidi wafanye rebase. I give them 2yrs maximum and Uganda will pass them😂
mke wa kila mtu 😂😂😂Ni shedaah
View attachment 3690750