Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

amueni sasa mnasubiria nn 🤣 🤣 🤣 🤣 BTW those are stupid activists, they always end up with wajinga wenzao kenya

View attachment 3691227
IMG_0159.jpeg
 
Kila statistic kwenu inakuwanga fictitious until ile siku itarank Vumbistan mbele ya Kenya😂😂😂
Kuna statistics gani ambazo mie niliwahi kuzipinga ukiachana na GDP!? Mbona zingine zote nilizikubali hadi za umasikini!?
Aya hiyo GDP kubwa imeisaidia nini Kenya!? Mbona hata food security hamuna hadi madawa tumewasaidia sisi nchi yenye low GDP!?
 
Una hasira sana na nimesema tu kitu moja. Ukweli huuma.
 
Back
Top Bottom