Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Can you prove Arusha is colder than Nairobi Mganga na Umbwa?
Screenshot_20261014-182357.png
Screenshot_20261014-182331.png

Maku kiberawalker hata arusha ujafika maku ww
 
Lakini hii SGR itaja ishaa lini?tangu enzi za marehemu...mama akamaliza muhula wake wa kwanza ..sai ya pili..story bado ni ile ile..
Vipi kuhusu Ile ya malaba almost 17 years bado kumaliza hata 700km, unataka compare na mwanza 1200km from dar ambayo imeanza Jengwa 2020s
 
Vipi kuhusu Ile ya malaba almost 17 years bado kumaliza hata 700km, unataka compare na mwanza 1200km from dar ambayo imeanza Jengwa 2020s
Nauliza swali unanijibu na swali....kwanza yetu itafika malaba kabla yenu kukamilika....lakini tangu enzi za marehemu...story ni SGR ,sgr,sgr...malizeni hii kitu mfikirieni mambo zengine..ama hela hakuna?
 
mbna swali likua rahisi, tuambie DEBT to GDP , what your showing is numbers that included the debt, meaning your showing money that is temporary in kenya 😂 😂 😂 ukiwa unaongelea GDP unatakiwa uweke debt to gdp ratio pia ulete na import and exports earning, because you cant make noise on money that is self created 😂😂
You are a dumb guy pretending to be smart.
 
Nauliza swali unanijibu na swali....kwanza yetu itafika malaba kabla yenu kukamilika....lakini tangu enzi za marehemu...story ni SGR ,sgr,sgr...malizeni hii kitu mfikirieni mambo zengine..ama hela hakuna?
sasa huoni kama wewe ndo unachanganyikiwa, ya kwenu mission ilikua kwenda Uganda but mpaka sasa tunavoongea haijafika ata malaba 😂😂😂
 
Back
Top Bottom