Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni kwamba huo uwanja umepiga mahali pake nn mpaka ukatumia picha za zaman 😂😂😂😂 unauogopa nn
look who’s complaining about picha zamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣….
 
mbna pako freshi tu 😂 😂 eti mwaiofhawaii was this the BYUTIFICATION ulikua unaongelea

View: https://x.com/ChaliKisogo/status/2110287670391824542?s=20

IMG_0202.jpeg
 
look who’s complaining about picha zamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣….
si ndo ukwel sasa 😂 😂 😂 uwanja ushaisha ndan watu wanadeal na nje saaahv bado picha za construction unazo 😂😂😂 it shows jinsi pain has landed where its supposed to be, everyday we post latest talanta photos but nyie mpaka leo mna hio staircase, PAIN has landed where its supposed to land 😂😂😂😂😂😂😂
 
Ila umempiga mbilikimo makumbo hadi wakaungana na huyo lofa mwengine kupigana na msichana.😂😂
Niko na yeye hadi akubali. Hatutaki ujinga. Mbilikimo kuja hapa.
Uzuri mimi ni shabiki mzuri wa mpira na huwa naendaga kuangali ball viwanjani kabisa, tabia yangu tangu utotoni. Sijawahi kukuona kwenye uwanja wowote stupid. 😂😂😂 we zako labla kupita nje ya uwanja kwa mbaaali halafu upige picha 1km away from the stadium ndio uje upost humu.

Tena wewe mkundu kunuka ulipita hapo chuga uwanja ukiwa ndio kwanza wanaeka machuma 😂😂😂

Have you ever been inside any stadium before.?
 
Back
Top Bottom